Mawimbi ya bahari yaliyoganda huko Antarctica

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,453
Reaction score
8,439
Frozen waves- Antarctica.jpg
 
Kutokana na ongezeko la joto duniani yatakuja yeyuka yote na kuongeza urefu wa kina cha bahari nakufuta baadhi ya visiwa ikiwemo Zanzibar, Hapo ndipo Muungano utakapokufa rasmi.
Haya bana no comment.
 
Kutokana na ongezeko la joto duniani yatakuja yeyuka yote na kuongeza urefu wa kina cha bahari nakufuta baadhi ya visiwa ikiwemo Zanzibar, Hapo ndipo Muungano utakapokufa rasmi.

hahahahaaaaaaaaaa hii Kali saaa
 
Kutokana na ongezeko la joto duniani yatakuja yeyuka yote na kuongeza urefu wa kina cha bahari nakufuta baadhi ya visiwa ikiwemo Zanzibar, Hapo ndipo Muungano utakapokufa rasmi.

Duniani kuna watu wanafikiri, duuh
 
Kutokana na ongezeko la joto duniani yatakuja yeyuka yote na kuongeza urefu wa kina cha bahari nakufuta baadhi ya visiwa ikiwemo Zanzibar, Hapo ndipo Muungano utakapokufa rasmi.

doh.nimecheka.sana
 
Kutokana na ongezeko la joto duniani yatakuja yeyuka yote na kuongeza urefu wa kina cha bahari nakufuta baadhi ya visiwa ikiwemo Zanzibar, Hapo ndipo Muungano utakapokufa rasmi.

Ulichokisema ni kweli kabisa mkuu, this is true from Geographical point of view, Zanzibar haina miaka 100 mbele lazima itamezwa kama kilivyomezwa kisiwa kidogo cha maziwe kule pangani Tanga
 
Kutokana na ongezeko la joto duniani yatakuja yeyuka yote na kuongeza urefu wa kina cha bahari nakufuta baadhi ya visiwa ikiwemo Zanzibar, Hapo ndipo Muungano utakapokufa rasmi.

Dah mkuu we noma... sijui umewaza nini asee.... Basi sawa na mi nimecheka..
 
Kutokana na ongezeko la joto duniani yatakuja yeyuka yote na kuongeza urefu wa kina cha bahari nakufuta baadhi ya visiwa ikiwemo Zanzibar, Hapo ndipo Muungano utakapokufa rasmi.
hahahahahhaaaaa Avatar yako na comment yako havifanani kabisaaaa, nimecheka sana sana
 
Kutokana na ongezeko la joto duniani yatakuja yeyuka yote na kuongeza urefu wa kina cha bahari nakufuta baadhi ya visiwa ikiwemo Zanzibar, Hapo ndipo Muungano utakapokufa rasmi.

utakufa znz utaiacha,hv nyie bavicha mnafkiria kw ku2mia nini?ma****lio?
 
Back
Top Bottom