Mawe-Matatu Anapohubiri Asiyoyatenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawe-Matatu Anapohubiri Asiyoyatenda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Prophet, Jul 14, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilkuwa napita-pita karibu na kibanda cha chips. pana ka-TV kadogo kama inchi 17 hivi. mara nikaskia mtu anaongea kwa madaha ati "serikali iliyoko madarakani imejaa watu wazalendo wa kweli na waadilifu. nilipocheki vizuri nikagundua kuwa kilikuwa ni kipindi cha bunge na aliyekuwa akijinasibu si mwingine bali ni bwana mmoja kwa jina maarufu mawe ma-three.

  my take:
  naomba kuelekezwa, labda sielewi. hivi mtu akiteuliwa kuwa waziri au naibu waziri ndiyo anakuwa mzalendo wa kweli na muadilifu....

  jamani. mawe ma-three mwaka 2005 alitumia mamilioni ya shilingi kutaka kununua ubunge wa jimbo lake kutoka kwa wapiga kura, lakini akapigwa chini. uchaguzi uliopita ndo kabisa alikuwa amejiandaa kwa mtindo wa ama zake ama zangu ndiyo kashinda ubunge. jamani eeh, hivi uadilifu na uzalendo huwa unapimwa vipi?

  mawe ma-three ni sawa na ka-Rostam kadogo ndani ya serekelai ya mtu wa bagamoyo.

  mawe ma-three acha kutupiga changa-la macho maana uadilifu wako unatia shaka kubwa.
   
 2. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,306
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  majungu mkuu. Alikunyima posho? Najua wa tz wengi mnaishi kiujanjaujanja siku hizi. Na je, unamfahamuje? Kupitia media au kivipi? Watu wengine Mnatia kinyaa. Unaweza kutufahamisha kwa nini unafikiri na kumfananisha na ka rostam kadogo? Una vithibitisho japo hata kidogo?
   
 3. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Acha uzushi, Mawe matatu mimi ninamfahamu kwa asilimia 100%, wala siyo kama unavyodhani, wala jamaa siyo fisadi, sema yeye ni mfanya biashara, hela zake za dividend ndiyo alitumia kwenye kampeni. Ni mzalendo na ni miongoni mwa watanzania ma Great Thinkers (ingawa siasa inaweza kumpotosha mtu) lakini katika mazingira ya kawaida jamaa ni CEO mzuri haswa anapokuwa alone!
   
Loading...