Mawazo yetu yametekwa nyara!! uhuru wetu unamilikiwa na ccm, mali zetu zinaporwa tukiona!!

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
1. Mawazo yetu si tu yameporwa bali pia hayathaminiwi!!
Haki yetu kikatiba ya kuwakilishana imekuwa haki yao kujiwakilisha.

2. kikundi kidooogo cha watu kwa madai ya ridhaa ya kutuwakilisha kinakengeuza utashi wetu na kuuweka wa kikundi hicho kupata uhalali wa kikatiba na kisheria!! inauma saana!!!!

3. Kikundi hiki kinatumia mwavuli walioutega wa kinga ya rais kushtakiwa wanauza mali zetu kupitia mihimili yetu kwa gharama ya kodi zetu tunazokamuliwa kisawasawa!!!

4. Tunawalipa mishahara, posho na marupurupu kibao wanaishia kutumia posho hizo kutukejeli kwa kupongezana kwa kazi wanayoiona kuwa ni murua ya kutuibia, kutunyamazisha, kutudharau, kutunyanyasa!!!!

Naendelea kujiuliza.
 
Mawazo yetu yametekwa nyara na Tundu Lissu na Mange!! uhuru wetu wa demokrasia unaminywa na viongozi kwa kung'ang'ania madaraka na kuwapa vyeo na kuwateua mahawala wao, mali zetu zinaporwa tukiona kwa utetezi wa Lissu na matapeli wengine!
 
Uliowataja hawana mamlaka ya kutulazimisha kulala saa 12 jioni,
Uliowataja hawana mamlaka ya kisheria kutufungia magazeti kanakwamba yanaandika wasichokitaka kiandikwe!!!!
Uliowataja ni miongoni mwa waliominywa uhuru wao kikatiba.

Unaonekana wewe ni miongoni mwao katika kundi la Lucifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom