Mawazo yenu

Mawazo yenu

Sir Makombo

Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
48
Reaction score
58
Kwa waliowahi kupata tatizo la kupitiwa na upepo mchafu wa kidunia kidogo bahati mbaya(mapepo/majini). Inatokea inakugusa halafu unakuta upande mmoja wa uso unavimba na mdomo unaanza enda upande. Ule upande ulovimba unakuta mishipa imekaza. Mimi ilinipata. Nimejitahid kutumia dawa za kiarabu na kuenda maombi pia. Nimepata nafuu na naendelea vizur ila bado sijapona. NOTE: sio pressure wala stroke. Nilienda hospital vyote hamna. Kuna ustadhi ndo alinifumbua macho tu. Kuna mtu ashawah kutana na hili tatizo atoe ushuhuda alilikabili vipi...
 
Masheikh ndo shughuli zao hizo kucheza na majini. Komaa nao watakusaidia. Wanavijua vizuri sana ivo viumbe

Maelezo yako ni marefu halafu yanajichanganya na hueleweki unataka nini au tukusaidie na nini. Bila shaka kuna uwezekano kuwa bado hujapona na mapepo ambayo ulitupiwa / ulikuwa nayo. Subiri Kwanza yakutokea vizuri kisha rudi tena hapa ' Home of Great Thinkers ' ukiwa na Hoja iliyosimama kabisa ili tukusaidie Kikamilifu sawa?
 
Nilipata hilo tatizo nikaanza kuvimba upande mmoja wa uso na mdomo ukaanza kwenda upande. Nikaambiwa ni majini yamenipiga. Nikapewa dawa za kiarabu naendelea kutumia. Nimepata nafuu ingawaje bado ule upande bado haujakaa kawaida. Nilienda na maombi pia. Sasa nilikuwa nataka nipate mawazo ya watu kwamba walifanya nini mpaka wakapona kabisa kwa walowahi kutana na tatizo kama la kwangu.
 
Sasa kwanini ulishindwa Kunyooka / Kufunguka hivi vizuri tokea mwanzo? Kumbe mpaka ' mtekenywe ' kidogo ndiyo akili zenu zinaamka na kuwakaa sawa? Haya sasa umeelewa na pole sana ila subiria majibu ya Watu humu kwani wapo wengine ambao Wao ndiyo ' Wamiliki ' wa hayo ' Mapepo ' watakuambia jinsi ya Kukabiliana / Kupambana nayo.
 
Pole sana mkuu,
Mungu atakusaidia utapona tu In sha Allah.
 
Maelezo yako ni marefu halafu yanajichanganya na hueleweki unataka nini au tukusaidie na nini. Bila shaka kuna uwezekano kuwa bado hujapona na mapepo ambayo ulitupiwa / ulikuwa nayo. Subiri Kwanza yakutokea vizuri kisha rudi tena hapa ' Home of Great Thinkers ' ukiwa na Hoja iliyosimama kabisa ili tukusaidie Kikamilifu sawa?
Nilivimba upande, mdomo ukaanza kwenda upande. Nikaambiwa ni majini. Sasa nilipewa dawa za kiarabu ndo natumia. Naendaga maombi pia. Sasa nilikuwa nataka msaada kidogo. Nimepata nafuu lakin sijapona kabisa. Ule upande umepungua lakin haujakaa sawa maana kuna uvimbe kwa mbaali. Kwa walowahi kupata tatizo hili naomba wanipe kidogo ujuzi kuwa walifanya je mpaka wakaondokana nalo kabisa.
 
Sasa kwanini ulishindwa Kunyooka / Kufunguka hivi vizuri tokea mwanzo? Kumbe mpaka ' mtekenywe ' kidogo ndiyo akili zenu zinaamka na kuwakaa sawa? Haya sasa umeelewa na pole sana ila subiria majibu ya Watu humu kwani wapo wengine ambao Wao ndiyo ' Wamiliki ' wa hayo ' Mapepo ' watakuambia jinsi ya Kukabiliana / Kupambana nayo.
Sawa sawa mkuu
 
Pole sana, chua hiyo sehemu kwa maji ya baraka (kama ni mkatoliki) na mafuta meusi (habat souda) asubuhi na jioni, na hakikisha unatafuna jojo au big G kila wakati hasa kwa upande ulioathirika ili kusaidia misuli irudie hali yake ya awali.
 
Nilivimba upande, mdomo ukaanza kwenda upande. Nikaambiwa ni majini. Sasa nilipewa dawa za kiarabu ndo natumia. Naendaga maombi pia. Sasa nilikuwa nataka msaada kidogo. Nimepata nafuu lakin sijapona kabisa. Ule upande umepungua lakin haujakaa sawa maana kuna uvimbe kwa mbaali. Kwa walowahi kupata tatizo hili naomba wanipe kidogo ujuzi kuwa walifanya je mpaka wakaondokana nalo kabisa.

Sawa Mkuu umeeleweka na pole sana kwa yaliyokusibu, ila bahati mbaya Mimi sijawahi kupata au kuwa na ' Mapepo ' hivyo usitegemee sana majibu yangu kisha nikaja Kukuingiza bure ' chaka ' na ukajuta.
 
Pole sana, chua hiyo sehemu kwa maji ya baraka (kama ni mkatoliki) na mafuta meusi (habat souda) asubuhi na jioni, na hakikisha unatafuna jojo au big G kila wakati hasa kwa upande ulioathirika ili kusaidia misuli irudie hali yake ya awali.
Asante mkuu. Nitafanya hivyo
 
Tokea nipo mdogo huwa naonaga mzee wangu anawatibu watu wenye matatizo kama hayo na wanapona, itabidi nimwambie anifundishe.
 
Pole sana,

Ila vitu kama hivyo pindi vinapotokea, kumbuka kua mungu anakupenda na anakukumbusha upeo wake.

Na mungu asipokupa mitihani mizito kama hio, tambua amekutelekeza kama kupotea basi uendelee kupotea.

Shukuru sana, na fanya ibada sana, mungu anakupenda
 
Maelezo yako ni marefu halafu yanajichanganya na hueleweki unataka nini au tukusaidie na nini. Bila shaka kuna uwezekano kuwa bado hujapona na mapepo ambayo ulitupiwa / ulikuwa nayo. Subiri Kwanza yakutokea vizuri kisha rudi tena hapa ' Home of Great Thinkers ' ukiwa na Hoja iliyosimama kabisa ili tukusaidie Kikamilifu sawa?
tafadhari uje utusaidie wakulima wa korosho huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom