Mawazo yenu wadau

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,793
5,372
Salama wadau ....
Kwa walio wenyeji wa mji wa Uganda naomba mwongozo ..
Nataka kutembelea Uganda kipindi cha mapumziko yangu siku chache zijazo pia niangalie biashara gani zinapatikana huko kwa wingi na bei za vitu kwa ujumla ..ili next time nikiende niwe najua pa kuanzia .
Lakini si mwenyeji hata kidogo...Je kama ilivyo kwa Dar City kuna soko la kariakoo , Mwenge , Sinza madukani...Nk Nk.
Nipeni mawazo kwa Uganda ni masoko gani ambayo naweza kutembelea nikapate yale yote nayohitaji kujua ??
Nawakilisha!
 
Tembelea soko la Nakasero, Kikuubo na maeneo ya old taxi park. Epuka kwenda Owino market kuna wezi sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom