Mawazo yangu katika katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawazo yangu katika katiba mpya

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by manasa, Apr 27, 2012.

 1. m

  manasa Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iwapo mbunge hajatimiza ahadi alizo ahidi wananchi waliomchagua wamwajibishe au asipate nafasi ya ugombea tena kipindi cha kwanza kikiisha.
  Hii itasaidia wabunge kuwakilisha wananchi bungeni ipasavyo na pia hawata bweteka.
   
Loading...