Hakuna swala gumu in Love kama advce ya dini, kwn that hakuna atakae kuadvce wthout sayng we ndio mwenye maamuz. Then hapo kuna v2 vwili mapenz and iman ya dini
MASWALI..
1. Unataka kuchange dini coz ya mwanamke unampenda, huwez kumkosa and unataka kumuoa?
2. Unataka kuchange dini kwa hofu ya mungu, and kujua usahihi uko wapi ili umuhamuda mungu in postve way?
NOTE:
Dini kama culture, m2 anakua nayo kujfunza na kujua ndio iman inapojaa, sasa ww iman ya ukubwan kwenye dini za wa2, kisa mapenz takea kaka.
Then mapenz yana mwsho, cz hamuwez fka 200years, kuna kufa, kuachana, what abt Mungu ambae ataishi milele, thnk twce.
Mimi leo ngoja niwe msomaji tu...
Dini ni kitu kikubwa......mapigano yanatokea nchi nyingi sababu ya dini......huyu mschana nimempenda na nnaweza fanya anything ili niwe nae
Upendo utakapopungua kuna mengi yatabadilika,life is dynamic.
Mapezi ni kitu cha ajabu sana kwani huweza hata mfanya mtu akawa kiposi, hata akionyeshwa korongo hatoweza kuona, na hata tahadhari hupuuzwa. Hiki ndicho ninachokiona kwako.Kuhusu kumjua? Nnamjua vizuri sana lkn kama haitatosha nnaweza fanya kitu kimoja. Nimebahatika kupata mama msomi na ni psychologyst anaweza kukaa nae na kunisaidia kumjua zaidi
Mapezi ni kitu cha ajabu sana kwani huweza hata mfanya mtu akawa kiposi, hata akionyeshwa korongo hatoweza kuona, na hata tahadhari hupuuzwa. Hiki ndicho ninachokiona kwako.
Umependa kupita kiasi na unachotamani kusikia kutoka kwa wachangiaji ni kuungwa mkono ili ubadili dini na umpate huyo mchumba wako, sina hakika kama kama yeye kakupa kipaumbele kama ufanyavyo wewe.
Nenda taratibu na kwa umakini usijelia siku moja. Kuusemea moyo wa mtu ni jambo gumu sana kuliko unavyodhani. Mwanamke anaweza kuvunga (pretend) hata kwa miaka kumi mko pamoja na usigundue. Nahisi wewe bado kijana mdogo kwa umri.
Omba sana Mungu akusaidie katika maamuzi haya magumu ya kumpata mwenza kwa kubadili dhehebu. Fikiria kisawasawa usiendeshwe na hisia tu za kimapenzi, imani nayo ni muhimu.
Kuhusu hio dini.....najua tunatumia Bible moja. Na nimechunguza tayari sio ngumu sana kwa mtu mwenye maadili mema. Nimejitahidi ku sociolize na wazee wakongwe wa hio dhehebu. Ni kwamba tumetofautiana kidogo tu. Shida yangu ni kwamba! Wazazi na ndugu.
Huyu mschana kanibia nichange dini.....lkn yeye ameinsist kwamba nijifunze na nisadiki nitakayo fundishwa kama nitaamini......nitafikiria hilo bro. Mimi nnachoamini Mungu ni mmoja na dini ameleta mzungu tu