Mawazo na ushauri wangu kuhusu mafanikio

Jayspeed

Senior Member
Feb 23, 2014
156
168
Watu wanatakiwa kuamini katika jambo fulani (legal) wanaloliamini litawafikisha wanapotaka..

Watu hupaswa kuamini kuwa leo ni nzuri kuliko jana na leo inaweza kujenga misingi mizuri ya kesho..kama mwanadamu mwenye ndoto za mafanikio hii itamsaidia kuendelea kupambana bila kuchoka...

By Jay Speed..
 
Back
Top Bottom