Mawazo na Experience....Is playing hard to get COOL or NOT?

Wakati inatakiwa 99 iwe yake na hako kamoja ndo kakuangaza angaza macho?Hata maombi hapo yatadunda aisee!

Yaani halafu hajisikii vibaya kusema jamani.....akufukuzaye.......:A S 20::A S 20:
 
Unapokua humtaki mtu ni vizuri kumjibu mtu, im sorry siko tayari, na pia sitaki. Na jibu zuri la kumkubali mtu nikumwambia ntafikiria hapo moja kwa moja ni ndio nimekubali, sioni sababu ya kumfikiria mtu usiemtaka wala huna mpango wa kumkubali.
 
Back
Top Bottom