Mawazo kuhusu Msc. Finance ya IFM

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Wadau kuna ndugu yangu anataka aunge kwa kufanya masters ya Ms.Finance inayotolewa na IFM. Naombeni mwenye kufahamu anijuze ubora wake, maana kuna vyuo pia vinatoa masters lakini hazina heshima na hazitambuliki kwa vyuo ambavyo ni accredited pale unapotaka kufanya phd.
Asanteni

Kujihakikishia ni vizuri.
Msc Finance inayotolewa IFM ni ya "Strathclyde University" ya Uingereza. Chuo hicho kinatambulika na kina hadhi yake.
Embu tujuze hivyo vyuo ambavyo havitambuliki/havinahadhi kwa faida ya wengine.

Kuna baadhi ya vyuo vya marekani vinazungumzwa sana. Mfano mzuri ni ile university of people ya USA

Back
Top Bottom