Baada ya kazi kubwa iliyofanyika Bukoba mjini na kumng'oa mdogo wa Waziri wa Maliasili na Utalii ambae pia ni Mbunge wa Bukoba mjini.
Kamanda Mawazo alikwenda kufanya mkutano kabambe wa hadhara katika kijiji cha Bisheke wilayani Muleba. Mawazo leo asubuhi aliwasili Karagwe na kwenda mpaka jimbo ya Kyerwa na kufanya amefanya semina na viongozi wa jimbo.
Baada ya semina kamanda Mawazo akiambatana na Mbunge wa Viti maalumu CHADEMA Mhe. Conchesta wamefanya mkutano mkubwa wa hadhara na wamepokewa na umati mkubwaaaaaaaaa na watu wengi wapenda mabadiliko wamemkubali kamanda kwa jinsi anavyolimiliki jukwaa na namna anavyoeleza kwa ufasaha sera za CHADEMA.
Katika M4C kamanda Mawazo amekuwa chachu ya mabadiliko Lake zone.
Viva kamanda Mawazo, viva CHADEMA, ni lazima sasa CCM iondoke kwa nguvu ya UMMA.
Kamanda Mawazo amekuja kwa wakati na amekuwa chachu na sehemu ya mabadiliko ya fikra za wananchi wa kanda ya ziwa.
Kitaeleweka tu!