habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Nauliza tu,hivi mbona huyu Mh.anafanana sana na Balozi Mussa Mpango wa DRC? Hawana udugu hawa au? Isijekuwa tunamkabidhi "mgeni" hazina yetu!!
Katiba ya warioba ilitaka mawaziru wasiwe wabunge lkn kenge wa kijani wakaiharibu. Sasahv magufuli anatekeleza hiyo katiba ya wariobaInaleta faraja kwamba sasa nchi itaongozwa na wanataaluma bila kun'gan'gania wanachama wasio na uwezo.
I doubt kama Dr Mpango, Dr Ndalichako, Dr Ashantu Kijaji ni wanachama wa chama chochote.
Umemsahau Mwalimu wetu wa Udom Dr Abdalah Possy.
Kama huna uelewa na siasa za kimataifa acha kuchangia upuuzi tangu lini mdemocrat akamchagua mrepublican kuwa waziri? Obama wa Democrat angemchukuaje waziri wa Bush?
Hapa kazi tu huyu ndiyo magufuli na ccm yake.
Kama huna uelewa na siasa za kimataifa acha kuchangia upuuzi tangu lini mdemocrat akamchagua mrepublican kuwa waziri? Obama wa Democrat angemchukuaje waziri wa Bush?
Inaleta faraja kwamba sasa nchi itaongozwa na wanataaluma bila kun'gan'gania wanachama wasio na uwezo.
I doubt kama Dr Mpango, Dr Ndalichako, Dr Ashantu Kijaji ni wanachama wa chama chochote.
Inaleta faraja kwamba sasa nchi itaongozwa na wanataaluma bila kun'gan'gania wanachama wasio na uwezo.
I doubt kama Dr Mpango, Dr Ndalichako, Dr Ashantu Kijaji ni wanachama wa chama chochote.
Kama huna uelewa na siasa za kimataifa acha kuchangia upuuzi tangu lini mdemocrat akamchagua mrepublican kuwa waziri? Obama wa Democrat angemchukuaje waziri wa Bush?
Alimwacha, tena waziri wa ulinzi wa Bush kuendelaea, anatwa Robert Gates, just google utaona