Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Welcome to the 21st century:
Phones-wireless.
Cooking-fireless.
Cars-keyless.
Food-fatless.
Youth-jobless.
Leaders-shameless.
Relationships-meaningless.Attitude-careless.
Feelings-heartless.
Education-valueless.
Am just speechless.
Everything has become LESS but still our hopes are endless!! good 9tless.
Majina tafadhali mkuu natamani Ngeleja pia awemo
Ngeleja yule hatokuja kujiuzulu hadi wazirimkuu naye awajibishwe..yule ni mbishi kama busha ..mtu gani yule hata hafai kwenye jamii utafikiri kazaliwa ili awe waziri au utafikiri akijiuzulu atakufa hapo hapoMkullo, Mponda,Nundu na Chami.
Tia pingu, Segerea, basi!
Hapana aisee chalii yangu! Blaki Womani ni Msukuma wakati Black Bat ni Mmwela!Black Bat na Blaki Womani wanaundugu ?
Hapana aisee chalii yangu! Blaki Womani ni Msukuma wakati Black Bat ni Mmwela!
Mengi yatajitokeza hasa baada ya rais kuwasili toka matembezini.
wameondolewa au wameondoka wenyewe?