jamaa simuelewikatambi
Siyo kweli.Ni Mnyambo wa Karagwe. Mkoa wa Kagera hauna wasukuma.Kisa msukuma
Doto biteko , dhahabu inaibiwa sanaKuelekea mabadiliko ya baraza la mawaziri, ni mawaziri na manaibu gani wamekalia kuti kavu? Mimi naanza na Mh. Bashungwa sidhani kama atabaki Tamisemi sidhani.
Mbona mimi naona anaimudu nafasi hiyo!Kuelekea mabadiliko ya baraza la mawaziri, ni mawaziri na manaibu gani wamekalia kuti kavu? Mimi naanza na Mh. Bashungwa sidhani kama atabaki Tamisemi sidhani.