Mawaziri wa rais Magufuli wafutika kiaina!

Mawaziri wa rais Magufuli wafutika kiaina!

Mbowe yuko wapi na vibaraka wake? Mbona hasikiki. Au ndio udhaifu
 
Magufili ni Rais pia ni Waziri wa kila Wizara!!Sijapata ona serikali inayo endeshwa kiajabu kama hii yetu!

Head of the State kachukua madaraka yoye toka kuwa mchumi na kiongozi wa bodi za kupanga mishahara ya watumishi kulingana na inflation hadi kuwa Chief Justice kuwafunga wasio na kazi hadi kuwa Waziri Mambo ya ndani kukamata wacheza bao hadi kuwa waziri wa Fedha kukagua bandarini na mengineyo mengi!
hakuna rangi mtaacha kuona majambazi nyie. Mmetuibia mno
 
Walirukaruka siku mbil tatu chaliiii!!huweza kufanya kazi bila dira wala maono ukafanikiwa!
 
Hautakiwi upate sifa kuliko boss wako, la sivyo utapotezwa!Na boss anavyopenda sifa sasa!Sterling ni yeye,director ni yeye,producer ni yeye,anapiga kona halaf anaenda kufunga mwenyewe
 
Pol
Dukuduku moyoni, tulipotoka tunapajua, tuliko tunapajua, tunakoelekea ni giza totoro, ramani haisomeki, Mungu saidia
Pole sana.Sisi wengine tunajua fika tunaelekea kwenye kuwa nchi yenye uchumi wa kati! Na shautri yako kama bado unajiulizauliza ma kushangaashangaa usije kulalamika huko mbele wanzio tunafocus kwenye fi]ursa zinazojitokeza, Kwa kuwa viwanda vinakuja hata watoto tunawaaandaa/ tunawajenge uwezo kumanage hivyo viwanda wakati ni huu changamaka!
 
Wanaruka ruka tu ka minyumbu ya Serengeti hakuna wanachokifanya. Mimi naishangaa sana hii ya tano, sion vision, sion strategy.. Naona misaragambo huyu kaibuka na huku kutwaa kufukuzana kazi za msingi hakuna..
na kutembea na waandishi wa habari ili waonekana watendaji. Kina Kigwangala kuzuia watu wasiingie maofisi kisa wamechelewa. Kwa mihemko ya serikali hii baada ya mwaka tutatafutana hapa tusijue pakushikia.
 
Kwa sababu mawaziri ni wabunge baada ya wenzao kutinga kwa ponsio pilato wamechanganyikiwa.
Hata ile vizia vizia yao sasa haina maana, wanaweza kupigwa wakidhaniwa wanavizia kupewa rushwa.
 
Kwa sababu mawaziri ni wabunge baada ya wenzao kutinga kwa ponsio pilato wamechanganyikiwa.
Hata ile vizia vizia yao sasa haina maana, wanaweza kupigwa wakidhaniwa wanavizia kupewa rushwa.
Duh!!!!!! So what is next mkuu????!!!!!!"
 
Yule Maembe anavyopenda misifa angeiweza kweli awamu hii?
 
Magufili ni Rais pia ni Waziri wa kila Wizara!!Sijapata ona serikali inayo endeshwa kiajabu kama hii yetu!

Head of the State kachukua madaraka yoye toka kuwa mchumi na kiongozi wa bodi za kupanga mishahara ya watumishi kulingana na inflation hadi kuwa Chief Justice kuwafunga wasio na kazi hadi kuwa Waziri Mambo ya ndani kukamata wacheza bao hadi kuwa waziri wa Fedha kukagua bandarini na mengineyo mengi!

Hiyo hutokea Mara chache sana na huwa inafanyika na mtu ama kiongozi mwenye moyo wa kizalendo pindi anapoona kuwa kero ambayo ilihitaji kuondoshwa na kiongozi wa chini yake na mwenye dhamana ya kufanya hivyo anaposhindwa ama kulegea kiusimamizi iwe ni kwenye sekta binafsi ama ni sekta ya umma achilia mbali kwa Rais kukagua ama kuingia ktk vitengo vyote vilivyoko chini yake pindi unapoona kiufanisi mambo hayaendi Kama ulivyotaraji ama kunao uzembe ni jambo la kupongezwa kwa hatua anazochukua Rais MAGUFULI

na anayepaswa kupongeza ni mimi na ww mwananchi kwa sababu imeonesha tija kwetu tulio wengi kila alipoingia sekta ulizozitaja,maslahi binafsi ya wachache yamekanyagwa ama kuvurugwa kwa faida ya walio wengi, ni furaha kwa walio wengi.
ila kama ww ni waziri ama kiongozi uliyeingiliwa kisekta hili lazima litakukera japo hata kama hukuwahi kufikiri namna ya kuimaliza pengine kero iliyokuwepo sehemu husika na litakukera kwa nn ,ni kwa sababu linakuanua ama linaonyesha udhaifu wako kiutendaji.
 
Back
Top Bottom