Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,289
- Thread starter
-
- #21
Baada ya hapo nimesikia vibaka wa buku 7 Lumumba wanajiandaa kuja na threads nyingi kwamba CCM ni mfano wa kuigwa kwa kufanya maamzi mazito. Hebu watazame jinsi wanavyojipanga kuleta umbeya!!
Baada ya hapo nimesikia vibaka wa buku 7 Lumumba wanajiandaa kuja na threads nyingi kwamba CCM ni mfano wa kuigwa kwa kufanya maamzi magumu. Hebu watazame jinsi wanavyojipanga kuleta umbeya!!
"Mlininukuu vibaya, nasisitiza Haiwezekani"..
....Mkuu Kigoma = Dubai....aiseehh!!!
Kitu kinachonifanya niwachukie wabunge kuwa mawaziri ni kwamba,wabunge wetu wote ni wanasiasa,"much talkative"less action,wengi wapo hapo muda mrefu wakila vinono,si rahisi kufahamu changamoto zilizopo mezani kwa sasa,infact wamelewa sifa na fedha"
...
jomba tangia aanze kupiga sub zote zimeoza juu mpaka chini maparachichi tu!!!
.....olo lyobhoya elentwe pyee .....
Safi sana ccm, napendekeza Prof. Maji marefu apewe wizara ya elimu, Lusinde Viwanda, mch. Lwakatare Uvuvi, kapuya kilimo.
Mariam msabaha apewe nafasi ya zitto halafu lema achukue ya said arfSafi sana ccm, napendekeza Prof. Maji marefu apewe wizara ya elimu, Lusinde Viwanda, mch. Lwakatare Uvuvi, kapuya kilimo.
Njaa tu zinakusumbua! By the way, kwenye picha hii ya vibaka wenzako wa buku 7 uko wapi?Source ni tz daima? Gazeti la mbowe????? Linalomtumikia mbowe kwa hisani ya mtei...taarifa ya kutunga hii
teh teh, mkuu hapo kwa kapuya si wafanyakazi wote wa kike lazima jamaa atawapitia?Safi sana ccm, napendekeza Prof. Maji marefu apewe wizara ya elimu, Lusinde Viwanda, mch. Lwakatare Uvuvi, kapuya kilimo.
teh teh...komba itabidi aende na kitanda kabisa pale wizarani, maana kwa kuuchapa usingizi hajambo!Komba apewe fedha na mwigulu awe pm
hivi serikalini kuna wizara hizo? Au ndo mpango mpya wa lumumba?Mariam msabaha apewe nafasi ya zitto halafu lema achukue ya said arf
Nape tena. Hachoki kuimba nyimbo zisizo na kiitikio? Hivi kamati kuu yao huyo Jakaya hakuwepo kwenye hicho kikao hata wajaribu kutudanganya? Hatujasahau wimbo wao wa kujivua gamba. Kichekesho ni kuwa hata yule aliyeamua kujitoa walikwenda mbio kumramba miguu wakimsihi asimalizie kujivua gamba....
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kuwatosa mawaziri saba wanaotajwa kuwa ni mizigo kwa serikali inayoongozwa na chama hicho.
Hatua hiyo ya kuwatosa mawaziri hao waliohojiwa na Kamati Kuu (CC), iliyokutana juzi mkoani Dodoma, inalenga kukinusuru chama katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwaka 2015.
Kikao cha CC kilichoketi juzi, kimemtupia mzigo wa kuwangoa mawaziri Rais Kikwete ambaye ndiye aliyewateua.
Akizungumza na waandishi wa habari, jana jijini Dar es Salaam, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alisema CC imetoa mapendekezo kwa Rais Kikwete ambaye ndiye mwenye hatima ya mawaziri hao.
Alisema Rais Kikwete ni mamlaka ya uteuzi wa mawaziri na ndiye atakayeamua kuwaadabisha, kuwasukuma au kuwaondoa madarakani mawaziri mizigo.
Aliyewaweka ndiye atakayewaondoa, Kamati Kuu haijamwabia awaondoe, inachokifanya ni kushauri tu. Lakini madaraka yote anayo rais aliyewachagua, alisema Nape.