Mawaziri saba wang'oka, Pinda chupuchupu

Big up CDM kwani ndio chanzo cha hicho kinachotokea
Peeeeeeeeeeeeeeeeeopleeeeeeeeeeeeeeees..............................p

Acha kuleta siasa kwenye jambo la msingi kama kuanzisha limeanzishwa na wabunge wa CCM wakina Filikunjombe na Zito kamalizia ata hivyo ukiweka siasa katika hili endapo tu likafika kupigiwa kura na wabunge wa CCM wakiamua kuligomea jua halipiti kwa kuwa wako wengi watakwamisha azimio, kilichopo hapa maslahi ya taifa yamewekwa mbele tofauti za kisiasa na kivyama nyuma na ndiyo maana limefikia hapo lilipofika vinginevyo lisingefika hapo,nakushauri acha kuendekeza itikadi za kivyama weka utaifa mbele!
 
Haya yote kajitakia baba Mwanaasha kuwapa ulaji washikaji zake matokeo yake ndio hayo sasa.Wameifanya njii hii shamba la bibi.
 
Back
Top Bottom