Wapokee simu yako ya nini? Wewe si ulimuuzia kura yako na yeye alikulipa pombe au khanga, T-shirt au kofia ya kijani na njano, sasa biashara mlisha ifanya na mkamalizana, simu tena kwake ya nini? Huna thamani tena kwake, alichokitaka kwako alishakipata, waacheni watoto wa watu wale nchi! Sana sana usubiri hadi july 2015 hapo watakuwa tayari kupokea simu zako na sio sasa!