Kwani kuna ubaya gani kama Asha Rose Migiro akapewa wizara? Au wewe unaogopa nini?Wana JF, suala la Mawaziri mizigo lilianzishwa na Kinana na Nape kwenye Mikutano yao ya hadhara. Najua walijua kuwa Bunge litawaka moto watakapojadili ripoti za Kamati za Bunge, kama mlivyokwishaona. Kwa hivyo, wamekwa wajanja kuwa-pre empt wabunge.
Kwa kujua hilo CC ya CCM imewahoji mawaziri husika. Hutashangaa kuona reshuffle ya baraza la mawaziri, na Asha-Rose Migiro akipewa tena uwaziri.
Je, huu ni makakati wa kumwandaa kama mgombea urasi wa CCM 2015?
Haya ni maoni yangu.
Mkuu, kwani kuna ubaya gani baada ya kuitumikia Dunia akarudi nyumbani kuwatumikia Watanzania?Kwanza inatakiwa tuelewe Asha R.Migilo kwa hadhi aliyokuwa amefikia ni fedheha kwa hiki akifanyacho na afanywacho na CCM ni Bora angekaa akabaki na heshima ya wadhifa aliokuwa nao UN, kwa hiki kinachotokea ninajiaminisha kuwa ni ni kweli cheo alichokuwa amekabidhiwa UN hakikikuwa zaizi yake na ndio maana aliboronga. kwa hiyo kwa akina mama kuwa imarakwenye uongozi kwa nchi yetu bado saana
1. Migilo UN kachemsha
2. Makinda Uspika wa Bunge Kachemsha.
Kuupata unini? Uwaziri au urais?Kuandaliwa juu yao ila kuupata ndio sisi tunahusika!!!!!
Na hata wao wanalijua hili
Mkuu, hata wewe unaona kuwa serikalimya sasa inawanyima usingizi akina babu slaa. Siasa za matukio kwishneiObviously ni mkakati wa propaganda zile zile za kuficha tatizo haswa la udhaifu la Raisi ambae amekuwa rahisi na sasa kinachofanyika ni reshuffle ya kujaribu kuonyesha serikali bi sikivu na kuingiza watu wapya kama Migiro kwa kutazama upepo na pia kuwapunguza wengine wa kambi pinzani na kuwajenga wengine!!
Na bado zitafanyika ngonjera ba maigizo mengi kutoka serikalini na CCM kwa minajili ya kuupumbaza uma na tutaraji kuanzia next year budget zitaanza kuwa friendly kwa wananchi na kujaribu kupunguza inflation,ni usanii kama kawaida chini ya uwongozi wa "chuo cha sanaa Bagamoyo/msoga"!!
Kwani kuna ubaya gani kama Asha Rose Migiro akapewa wizara? Au wewe unaogopa nini?
Mkuu, kwani kuna ubaya gani baada ya kuitumikia Dunia akarudi nyumbani kuwatumikia Watanzania?
Mkuu, una maana gani? Ina maana hata Mbatia, Mbarawa, Mhongo walipoteuliwa kuwa wqbunge na hatimaye kuwa mawaziri wameaibisha? Pua unamuona jinsi mwanadada Sada Mkuya anavyobamba kwenyemwizara ya fedha?mau unaandika ru kujifurahisha nafsi yakoMigiro kaabisha tz na wanawake. Ameosha wanawake bila kuwezeshwa hawawezi
Kuupata unini? Uwaziri au urais?
Nimeona hapa jamvini wanasema Lusinde katamka Bungeni kuwa timu ikivurunda wa kumbadilisha ni kocha. Najaribu kufikiria alikuwa akimaanisha nini ...kocha ni waziri au rais!?Obviously ni mkakati wa propaganda zile zile za kuficha tatizo haswa la udhaifu la Raisi ambae amekuwa rahisi na sasa kinachofanyika ni reshuffle ya kujaribu kuonyesha serikali ni sikivu na kuingiza watu wapya kama Migiro kwa kutazama upepo na pia kuwapunguza wengine wa kambi pinzani na kuwajenga wengine!!
Na bado zitafanyika ngonjera na maigizo mengi kutoka serikalini na CCM kwa minajili ya kuupumbaza uma na tutaraji kuanzia next year budget zitaanza kuwa friendly kwa wananchi na kujaribu kupunguza inflation,ni usanii kama kawaida chini ya uwongozi wa "chuo cha sanaa Bagamoyo/msoga"!!
Mkuu, kwani kuna ubaya gani baada ya kuitumikia Dunia akarudi nyumbani kuwatumikia Watanzania?
Mkuu, hata wewe unaona kuwa serikalimya sasa inawanyima usingizi akina babu slaa. Siasa za matukio kwishnei
Wana JF, suala la Mawaziri mizigo lilianzishwa na Kinana na Nape kwenye Mikutano yao ya hadhara. Najua walijua kuwa Bunge litawaka moto watakapojadili ripoti za Kamati za Bunge, kama mlivyokwishaona. Kwa hivyo, wamekwa wajanja kuwa-pre empt wabunge.
Kwa kujua hilo CC ya CCM imewahoji mawaziri husika. Hutashangaa kuona reshuffle ya baraza la mawaziri, na Asha-Rose Migiro akipewa tena uwaziri.
Je, huu ni makakati wa kumwandaa kama mgombea urasi wa CCM 2015?
Haya ni maoni yangu.
Mkuu, kwani kampotezwaje muda ban ki moon? Kwani kqbla ya Asha Rose Migiro, ulijua kuna cheo cha unaibu Katibu Mkuu wa UN? We si ulijua unaibu Karibu Mkuu wa CHADEMA tu?Kaitumikia dunia au kampotezea muda Ban kin Moon kwa kutenda kazi chini ya kiwango? Kama kashindwa kufanya kazi UN kwenye kila aina ya facilities ataweza huku kwenye umasikini na changamoto za kila aina? Tuache mahaba katika masuala muhimu ya kuendesha nchi.
Nchi ikiwa na mawaziri mzigo hawaumii CCM,CHADEMA,CUF au nani sijui,bali nchi nzima ina yumba na kukosa mwelekeo. Waziri sio wa chama bali wa nchi.