Mawaziri mizigo, je ni mkakati wa CCM kumwandaa Asha-Rose Migiro?

MAO

JF-Expert Member
Dec 23, 2008
264
250
Wana JF, suala la Mawaziri mizigo lilianzishwa na Kinana na Nape kwenye Mikutano yao ya hadhara. Najua walijua kuwa Bunge litawaka moto watakapojadili ripoti za Kamati za Bunge, kama mlivyokwishaona. Kwa hivyo, wamekwa wajanja kuwa-pre empt wabunge.

Kwa kujua hilo CC ya CCM imewahoji mawaziri husika. Hutashangaa kuona reshuffle ya baraza la mawaziri, na Asha-Rose Migiro akipewa tena uwaziri.

Je, huu ni makakati wa kumwandaa kama mgombea urasi wa CCM 2015?

Haya ni maoni yangu.
 
kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,728
2,000
Kwanza inatakiwa tuelewe Asha R.Migilo kwa hadhi aliyokuwa amefikia ni fedheha kwa hiki akifanyacho na afanywacho na CCM ni Bora angekaa akabaki na heshima ya wadhifa aliokuwa nao UN, kwa hiki kinachotokea ninajiaminisha kuwa ni ni kweli cheo alichokuwa amekabidhiwa UN hakikikuwa zaizi yake na ndio maana aliboronga. kwa hiyo kwa akina mama kuwa imarakwenye uongozi kwa nchi yetu bado saana
1. Migilo UN kachemsha
2. Makinda Uspika wa Bunge Kachemsha.

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903

Kwani kuna ubaya gani kama Asha Rose Migiro akapewa wizara? Au wewe unaogopa nini?
 
Ndahani

JF-Expert Member
Jun 3, 2008
17,004
2,000
Katika hao waliotajwa, wote ni mizigo au wengine wameingia kwenye mkumbo sababu za kisiasa? Uzoefu unaonyesha ni vizuri kujidadisi sana kwenye maamuzi ya jumla jumla ili haki iweze kutendeka.
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Kwanza inatakiwa tuelewe Asha R.Migilo kwa hadhi aliyokuwa amefikia ni fedheha kwa hiki akifanyacho na afanywacho na CCM ni Bora angekaa akabaki na heshima ya wadhifa aliokuwa nao UN, kwa hiki kinachotokea ninajiaminisha kuwa ni ni kweli cheo alichokuwa amekabidhiwa UN hakikikuwa zaizi yake na ndio maana aliboronga. kwa hiyo kwa akina mama kuwa imarakwenye uongozi kwa nchi yetu bado saana
1. Migilo UN kachemsha
2. Makinda Uspika wa Bunge Kachemsha.

Mkuu, kwani kuna ubaya gani baada ya kuitumikia Dunia akarudi nyumbani kuwatumikia Watanzania?
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,160
1,250
Kuandaliwa juu yao ila kuupata ndio sisi tunahusika!!!!!

Na hata wao wanalijua hili
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Kama chama kinachukua hatua dhidi ya mawaziri wasioperform, chadema kinawauma nini?
 
Abdillahjr

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
694
0
Obviously ni mkakati wa propaganda zile zile za kuficha tatizo haswa la udhaifu la Raisi ambae amekuwa rahisi na sasa kinachofanyika ni reshuffle ya kujaribu kuonyesha serikali ni sikivu na kuingiza watu wapya kama Migiro kwa kutazama upepo na pia kuwapunguza wengine wa kambi pinzani na kuwajenga wengine!!

Na bado zitafanyika ngonjera na maigizo mengi kutoka serikalini na CCM kwa minajili ya kuupumbaza uma na tutaraji kuanzia next year budget zitaanza kuwa friendly kwa wananchi na kujaribu kupunguza inflation,ni usanii kama kawaida chini ya uwongozi wa "chuo cha sanaa Bagamoyo/msoga"!!
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Obviously ni mkakati wa propaganda zile zile za kuficha tatizo haswa la udhaifu la Raisi ambae amekuwa rahisi na sasa kinachofanyika ni reshuffle ya kujaribu kuonyesha serikali bi sikivu na kuingiza watu wapya kama Migiro kwa kutazama upepo na pia kuwapunguza wengine wa kambi pinzani na kuwajenga wengine!!

Na bado zitafanyika ngonjera ba maigizo mengi kutoka serikalini na CCM kwa minajili ya kuupumbaza uma na tutaraji kuanzia next year budget zitaanza kuwa friendly kwa wananchi na kujaribu kupunguza inflation,ni usanii kama kawaida chini ya uwongozi wa "chuo cha sanaa Bagamoyo/msoga"!!
Mkuu, hata wewe unaona kuwa serikalimya sasa inawanyima usingizi akina babu slaa. Siasa za matukio kwishnei
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,160
1,250
Mkuu, kwani kuna ubaya gani baada ya kuitumikia Dunia akarudi nyumbani kuwatumikia Watanzania?

Ndio akafundishe sasa au hiyo anayoifanya chamani anahudumia Wanyama????!!
Kuhudumia ni mpaka kwa njia hiyo tu? ??!!!!

Mi nadhani kwa hili kaeni kimya tu
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Migiro kaabisha tz na wanawake. Ameosha wanawake bila kuwezeshwa hawawezi
Mkuu, una maana gani? Ina maana hata Mbatia, Mbarawa, Mhongo walipoteuliwa kuwa wqbunge na hatimaye kuwa mawaziri wameaibisha? Pua unamuona jinsi mwanadada Sada Mkuya anavyobamba kwenyemwizara ya fedha?mau unaandika ru kujifurahisha nafsi yako
 
omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,162
2,000
Obviously ni mkakati wa propaganda zile zile za kuficha tatizo haswa la udhaifu la Raisi ambae amekuwa rahisi na sasa kinachofanyika ni reshuffle ya kujaribu kuonyesha serikali ni sikivu na kuingiza watu wapya kama Migiro kwa kutazama upepo na pia kuwapunguza wengine wa kambi pinzani na kuwajenga wengine!!

Na bado zitafanyika ngonjera na maigizo mengi kutoka serikalini na CCM kwa minajili ya kuupumbaza uma na tutaraji kuanzia next year budget zitaanza kuwa friendly kwa wananchi na kujaribu kupunguza inflation,ni usanii kama kawaida chini ya uwongozi wa "chuo cha sanaa Bagamoyo/msoga"!!
Nimeona hapa jamvini wanasema Lusinde katamka Bungeni kuwa timu ikivurunda wa kumbadilisha ni kocha. Najaribu kufikiria alikuwa akimaanisha nini ...kocha ni waziri au rais!?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,420
2,000
Mkuu, kwani kuna ubaya gani baada ya kuitumikia Dunia akarudi nyumbani kuwatumikia Watanzania?

Kaitumikia dunia au kampotezea muda Ban kin Moon kwa kutenda kazi chini ya kiwango? Kama kashindwa kufanya kazi UN kwenye kila aina ya facilities ataweza huku kwenye umasikini na changamoto za kila aina? Tuache mahaba katika masuala muhimu ya kuendesha nchi.
Nchi ikiwa na mawaziri mzigo hawaumii CCM,CHADEMA,CUF au nani sijui,bali nchi nzima ina yumba na kukosa mwelekeo. Waziri sio wa chama bali wa nchi.
 
Abdillahjr

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
694
0
Mkuu, hata wewe unaona kuwa serikalimya sasa inawanyima usingizi akina babu slaa. Siasa za matukio kwishnei

Tatizo wewe ni roboti la Lumumba,unachangia kutokana na wenye remote controller wanavyotaka na walivyoku-format na kukuwekea partition ya mafile ya propaganda baadala ya unachangia hoja kwa mantiki ya uhalisia na uzalendo kwa muatakabali wa maendeleo ya Taifa na vizazi vijavyo!

Ni upumbavu na wastage of time ku-debate na wewe na allied wenzio!!!
 
BJEVI

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
1,359
1,195
Wana JF, suala la Mawaziri mizigo lilianzishwa na Kinana na Nape kwenye Mikutano yao ya hadhara. Najua walijua kuwa Bunge litawaka moto watakapojadili ripoti za Kamati za Bunge, kama mlivyokwishaona. Kwa hivyo, wamekwa wajanja kuwa-pre empt wabunge.

Kwa kujua hilo CC ya CCM imewahoji mawaziri husika. Hutashangaa kuona reshuffle ya baraza la mawaziri, na Asha-Rose Migiro akipewa tena uwaziri.

Je, huu ni makakati wa kumwandaa kama mgombea urasi wa CCM 2015?

Haya ni maoni yangu.

KWA NINI TUNASEMA MAWAZIRI NI MIZIGO??..aliyewachagua ndo mzigo au ni mawaziri ??..haiwezekani umpe mtu cheo then umwiite mzigo wewe uliyempa cheo ndo mzigo.
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Kaitumikia dunia au kampotezea muda Ban kin Moon kwa kutenda kazi chini ya kiwango? Kama kashindwa kufanya kazi UN kwenye kila aina ya facilities ataweza huku kwenye umasikini na changamoto za kila aina? Tuache mahaba katika masuala muhimu ya kuendesha nchi.
Nchi ikiwa na mawaziri mzigo hawaumii CCM,CHADEMA,CUF au nani sijui,bali nchi nzima ina yumba na kukosa mwelekeo. Waziri sio wa chama bali wa nchi.
Mkuu, kwani kampotezwaje muda ban ki moon? Kwani kqbla ya Asha Rose Migiro, ulijua kuna cheo cha unaibu Katibu Mkuu wa UN? We si ulijua unaibu Karibu Mkuu wa CHADEMA tu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom