Wana JF, suala la Mawaziri mizigo lilianzishwa na Kinana na Nape kwenye Mikutano yao ya hadhara. Najua walijua kuwa Bunge litawaka moto watakapojadili ripoti za Kamati za Bunge, kama mlivyokwishaona. Kwa hivyo, wamekwa wajanja kuwa-pre empt wabunge.
Kwa kujua hilo CC ya CCM imewahoji mawaziri husika. Hutashangaa kuona reshuffle ya baraza la mawaziri, na Asha-Rose Migiro akipewa tena uwaziri.
Je, huu ni makakati wa kumwandaa kama mgombea urasi wa CCM 2015?
Haya ni maoni yangu.