Mawaziri 5 walioboronga zaidi mwaka 2016

Mawaziri wanacheza ngoma anayopiga mkuu wa kaya hatuwezi kuwahukumu kwa mapungufu yao wakati wanafanya kazi na mtu anayejua kila kitu kasoro siku yake ya kufa
haha hata hiyo huenda anaijua maana lema alivyotabiri walimkamata wakidai amekosea!
 

Daah!! Aisee umefikaje humu?!
 
Mazingira,Afya,Maliasili,Viwanda na Ardhi (Morogoro Wafugaji+Wakulima)
 
Kama hakuna aliekimbia mpaka sasa......wote wako vizuri na wanakubaliana na yote yanayoendelea.
 
Hivi kuna waziri hata mmoja ndani ya serikali ya Magufuli ambaye amefanya la maana? Labda kwa mbaaaaaaliiiiiii ni Lukuvi. Hao wengine pamoja na Bwana Mkubwa wao ni zero kabisa!!
 
Sasa kama Mbarawa bado kidogo tu ataanza kuokota makopo!! Kalundikiwa mawizara matatu na mwenyewe akaitika ndiyo mzee! Amebaki kugusagusa tu na kuzungukazunguka.... Magufuli kwa alichomfanyia Mbarawa Mungu anamuona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…