Mawaziri 5 walioboronga zaidi mwaka 2016

Mawaziri wanacheza ngoma anayopiga mkuu wa kaya hatuwezi kuwahukumu kwa mapungufu yao wakati wanafanya kazi na mtu anayejua kila kitu kasoro siku yake ya kufa
haha hata hiyo huenda anaijua maana lema alivyotabiri walimkamata wakidai amekosea!
 
Katika kumalizia mwaka huu, tunahitimisha kwa kufanya tathmini ya mambo mbalimbali yaliyofanyika ndani ya nchi hii katika serikali yetu, lengo ni kujua wapi tulipofanya vibaya ili tuanze na kufanya vizuri mwaka unaoanz!
Sasa tuwajue ni mawaziri gani ambao walionekana kutokufanya vizuri kwenye wizara zao ili waweze kujijua na hatimaye kurekebisha yale madhaifu yao ili kuleta ufanisi zaidi!!

Daah!! Aisee umefikaje humu?!
 
Mazingira,Afya,Maliasili,Viwanda na Ardhi (Morogoro Wafugaji+Wakulima)
 
Kama hakuna aliekimbia mpaka sasa......wote wako vizuri na wanakubaliana na yote yanayoendelea.
 
Hivi kuna waziri hata mmoja ndani ya serikali ya Magufuli ambaye amefanya la maana? Labda kwa mbaaaaaaliiiiiii ni Lukuvi. Hao wengine pamoja na Bwana Mkubwa wao ni zero kabisa!!
 
Sasa kama Mbarawa bado kidogo tu ataanza kuokota makopo!! Kalundikiwa mawizara matatu na mwenyewe akaitika ndiyo mzee! Amebaki kugusagusa tu na kuzungukazunguka.... Magufuli kwa alichomfanyia Mbarawa Mungu anamuona!
 
Back
Top Bottom