^66
PM Majaliwa hana maamuzi anafanya kupelekeshwa na JPM kwa ziara za kushtukiza tokana na umbeya na unafiki!
Mfano mzuri ni ziara mkoani Arusha hivi karibuni. PM mzima anakomaa kutaka apelekewe sijui pembe za
faru John, mara vinasaba(DNA) mara alipozikwa ili iweje?Wakti huohuo kuna Watz wanane(8) wamekufa au kupotea katika mazingira ya kutatanisha llakn Majaliwa yuko kimya anagawa bodabodavArusha mjini ATI KUMMALIZA GODBLESS LEMA! Kama Majaliwa ni mwanamme kwanini unapigana na mtu uliyemfunga mikono????