CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Mleta uzi naona hajayatambua yote hayo mazuri!!Bukoba alienda kwa Mwendo kasi mara tu tetemeko lilipo tokea. Aliwatembelea Wahanga. Na Ihungo shuleni alifika. Alikwenda Urambo kumzika Sam 6.
Ondoa ndalichakoSasa tunaelekea kumalizia mwaka huu wa 2016. wafuatao ndiyo bora zaidi kiutendaji " top 5" .... Hii ni kwa mtazamo wangu.
Mawaziri:
1. Mwigulu Nchemba
2. Nape Nnauye
3. Ummy Mwalimu
4. Mbarawa
5.Ndalichako
RCs
1. Mrisho Gambo.......Arusha
2. Paul Makonda.......Dar
3. Amos Makalla.......Mbeya
4. John Mongella...... Mwanza
5. Anthony Mtaka.....Simiyu
Ma DC top 5 kwa 2016
1. Glorious Luoga......Tarime
2. Fadhili Nkurlu.....Kahama
3. Ali Hapi.......kinondoni
4. Kasesela.....Iringa
5. Ruth Msafiri.......Hanang
Nimekukubali aise Lukuvi anafanya kazi sana aiseMawaziri
1. William Lukuvi
2. Prof Makame Mbarawa
3. Prof Sospeter Muhongo
4. Prof Joyce Ndalichako
We nawee....Nani anafahamu sumu nzuri ya Mende?
Ulishaona wapi maongezi yanaonwa ?We nawee....
hebu angalia tunachoongea
Hii ya kwako ndiyo iko sawa mkuuMawaziri
1. William Lukuvi
2. Prof Makame Mbarawa
3. Prof Sospeter Muhongo
4. Prof Joyce Ndalichako
Polepole sio DC rekebisha hapoWaziri:
1.William Lukuvi
2.Makame Mbarawa
Naibu waziri:
1. Suleiman Jaffo
2. Luhaga Mpina
RCs
1. Paulo Makonda
2.Mrisho Gambo
DCs:
1. Bwana Richard Kasesera
2.Humphrey Polepole
1.Angela Kairuki sababu amepambana na kuondoa kwenye pay roll watumishi hewa 19,5000. Ameokoa Fedha za Serikali.Sasa tunaelekea kumalizia mwaka huu wa 2016. wafuatao ndiyo bora zaidi kiutendaji " top 5" .... Hii ni kwa mtazamo wangu.
Mawaziri:
1. Mwigulu Nchemba
2. Nape Nnauye
3. Ummy Mwalimu
4. Mbarawa
5.Ndalichako
RCs
1. Mrisho Gambo.......Arusha
2. Paul Makonda.......Dar
3. Amos Makalla.......Mbeya
4. John Mongella...... Mwanza
5. Anthony Mtaka.....Simiyu
Ma DC top 5 kwa 2016
1. Glorious Luoga......Tarime
2. Fadhili Nkurlu.....Kahama
3. Ali Hapi.......kinondoni
4. Kasesela.....Iringa
5. Ruth Msafiri.......Hanang
mkuu umemsahau Jordan Rugimbana lol..Sasa tunaelekea kumalizia mwaka huu wa 2016. wafuatao ndiyo bora zaidi kiutendaji " top 5" .... Hii ni kwa mtazamo wangu.
Mawaziri:
1. Mwigulu Nchemba
2. Nape Nnauye
3. Ummy Mwalimu
4. Mbarawa
5.Ndalichako
RCs
1. Mrisho Gambo.......Arusha
2. Paul Makonda.......Dar
3. Amos Makalla.......Mbeya
4. John Mongella...... Mwanza
5. Anthony Mtaka.....Simiyu
Ma DC top 5 kwa 2016
1. Glorious Luoga......Tarime
2. Fadhili Nkurlu.....Kahama
3. Ali Hapi.......kinondoni
4. Kasesela.....Iringa
5. Ruth Msafiri.......Hanang
Orodha yako nimeikubali. Muongeze Hussein Mwinyi na utakuwa umenisemea nami pia.Mawaziri
1. William Lukuvi
2. Prof Makame Mbarawa
3. Prof Sospeter Muhongo
4. Prof Joyce Ndalichako