Dume la Mende
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 423
- 64
toa wwUtendaji upi mkuu?, umefanya tafiti au umekurupuka, vigezo gani umetumia
nilitaka kuuliza swali kama hili maana icje ikawa Mkuu ameamka na hangover za jana akaja na uzi huu, atleast tuambie kama kuna research yyte umefanyaUtendaji upi mkuu?, umefanya tafiti au umekurupuka, vigezo gani umetumia
Vp kuhusu Waziri Mkuu?Sasa tunaelekea kumalizia mwaka huu wa 2016. wafuatao ndiyo bora zaidi kiutendaji " top 5" .... Hii ni kwa mtazamo wangu.
Mawaziri:
1. Mwigulu Nchemba
2. Nape Nnauye
3. Ummy Mwalimu
4. Mbarawa
5.Ndalichako
RCs
1. Mrisho Gambo.......Arusha
2. Paul Makonda.......Dar
3. Amos Makalla.......Mbeya
4. John Mongella...... Mwanza
5. Anthony Mtaka.....Simiyu
Ma DC top 5 kwa 2016
1. Glorious Luoga......Tarime
2. Fadhili Nkurlu.....Kahama
3. Ali Hapi.......kinondoni
4. Kasesela.....Iringa
5. Ruth Msafiri.......Hanang
Ndiyo! Makalla wa Mbeya. Yeye ALIPELEKA tukio la KUPATWA kwa Jua Mkoani kwake!Mimi naona waliojitahidi ni Luhanga Mpina naibu Waziri na kwa Rc ni Makala wa Mbeya
Waziri Mkuu naye yumo katika utendaji bora. Hapa Arusha alimwaga Piki piki kwa vijana na Mpwa wangu alipata moja!Vp kuhusu Waziri Mkuu?
Nikweli ila hayupo katika orodha ya mleta uzi, inashangaza.Waziri Mkuu naye yumo katika utendaji bora. Hapa Arusha alimwaga Piki piki kwa vijana na Mpwa wangu alipata moja!
Vp kuhusu Waziri Mkuu?