Mawasiliano. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawasiliano.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by chriss brown, Dec 11, 2011.

 1. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeona watu wengi sana,kwenye thread hii,wanaongelea kuhusu mawasiliano.
  Off course ni nguzo muhimu katika mahusiano,ila wengine naona wanachukulia kama mzaha..Mtu anasema anawasiliana na mwenzi wake ambae hamjui,then siku ya kukutana ndiyo wajuane..Jamani,does it make sense?.Hiki kizazi cha karne yetu kinaenda wapi?..na ndiyo maana,inakuwa ngumu kwa kizazi chetu hiki kupata mwenza mwaminifu,kwa kubase na idea kwamba,hata nikiwa na mahusiano na mtu wa mbali,hakuna shida,simu,skyping zipo.Lakini jueni ya kwamba,mahusiano ya mbali ni magumu sana,labda kama ni flirting tu,au mmoja wenu ana nia ya kumfata mwenzake alipo.
  Nna mifano mingi sana ya marafiki zangu,but mwisho wao huwa ni mbaya sana,hasa hasa kwa madent..at least mkiwa mmeoana,utakuwa na kifungo.lakini,sijakupa pete,sijakupeleka kwetu,just kuwasiliana tu?.Siyo mapenzi hayo wandugu.
  Mapenz ya dhati,ni pale mwenza wako yuko karibu yako,mnashauriana,mnajengana,having time together.thats makes you happy.
  Una skpe wee,simu kwa wingi,magharama kujijazia,ya nini kijana mwenzangu.
  LONG DISTANCE RELATIONSHIP NI NZURI KWA WANANDOA,AMBAPO,PINDI WAKIMISIANA,MMOJA ATAENDA KWA MWENZAKE,AU ATAPATA UAMISHO AMFUATE.LAKINI KAMA NI WAPENZI TU WA KAWAIDA.ITS NGUMU SANA.Uaminifu wa kweli unahitajika.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo?
  Wenzio wameenda kujiandikisha TCRA
   
Loading...