EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,115
Wakuu no reform no....
Mwanamke wangu simuelewi kuna namba mbili tofauti anawasiliana nazo moja ameisave kbs jina la kiume na kwa jns nlivyofanikiwa kusoma sms anazotumiana na huyo bwana nimegundua ni wa huku tulipo na mwanamke wng huku hana ndugu kabisi, mi nyumban natoka asubuhi sina narudi usku kuanzia saa 4 usku
Mmoja nliamua kucheck simu ya huyu mwanamke nikakuta muda mwang anachat na huyo bwana mpaka wanapeana ahadi za kuonana mbaya zaid mwanamke huyu ni kama vile ndiye anamuanza anamuuliza uko wapi mara amuamshe hatari zaidi sms zingne ni za usiku muda ambao nakuwa sijarud home sjaamua kumuuliza hilo nimeamua ku calm down nimpeleleze mdogo mdogo kwa kificho sina akiwa hajui kwamba huwa naptia simu yake maana nlishamzoeza kwamba sigusagi simu yake,jana tu wakati nakula usku ye alienda lala nlipoenda lala nikakuta kasnzia kajsahau akiwa anachat na huyo bwana na text ya mwsho alimtakia usku mwema. Wakuu mnaonaje nivute subra huku napeleleza au nkichafue as soon as possible na huu mkoa tuliopo ni una ukimwi ni kama maji.