Mawasiliano ya Mfuko wa Taifa wa Pension kwa Wastaafu

Umenena vyema. Mwaka wa saba huu bado Baba yangu anahangaika kufuatilia mapunjo ya pensheni ya mwezi na malipo ya mkupuo. Majibu anayopewa ni kwamba anayehusika na calculations bado hajalifanyia kazi faili lake. Yaani karne hii ya 21 pamoja na kompyuta kibao ofisini hapo wanashindwa kukokotoa hesabu nyepesi kiasi hicho. Baba anayo kompyuta mpakato yake aliyoinunua mwaka 1999 (karne ya 20) ambayo ina kile kikokotoo cha iliyokuwa PPF. Akiingiza namba zinazohitajika jibu linatoka ndani ya nusu sekunde. Iweje hawa wenye kompyuta za kisasa kabisa washindwe kupata jibu hilo kwa kipindi cha miaka sita!! Kiukweli ninyi PSSSSSF, Mungu anawaona mnavyowatesa wazee wetu.
Yani we Acha tu.
Wanadai eti zamani kyna michango ilikuwa haiiingizwi kwenye system hivyo wanaikusanya manually. Lakini kinachofanya mtu aombe kustaafu kwa hiyari miezi 6 kabla si ni ili waanze kufanya mchakato wa mstaafu mapema..sasa kwanini tena iwe hivyo inavyokuwa?? Mbona kipindi cha kikwete hakukuwa na longo longo??
 
0800110040 na 0800110050 wakipokea ushukuru Mungu.

Na kama una presha usipige hayo majibu yao lazima uchangiwe matibabu kitaifa.
Saa wameziweka za nini kama mambo yenyewe ndo hayo?
Ila nchi hii inahitaji dictator kwakweli maana bila hvyo hatuendii
 
nioneshe power of attorney ili nikupe kilakitu namanisha uthibitisho unaonesha wewe umeruhusiwa na dingi ufatilie mafao yake kwaniaba yake. Tukiazia hapo ni PM
 
Woiii
Hata nikifwatilia kwani hela si zinaingia kwa account iliyothibitishwa kwenyw documents alizopeleka huko psssf.
Siji PM wala nini so potezea
 
Hicho kitengo cha Mawasiliano huko makao makuu kimejaa vibaka,usijaribu kuwasiliana nao kwa simu wala mitandao yao ya kijamii.

Watakuomba namba ya uanachama ya Mzee wako then watapitia taarifa zake na kumpigia simu yeye mwenyewe kwa namba zisizo za ofisi na hapo ndipo watamtapeli.

Ataambiwa mwajiri wake hakuwasilisha michango ndiyo tatizo ila kama anaweza alipe hiyo michango mwenyewe then apate pension yake.

Atapewa kinachosadikika kuwa ni "Control number" huku kiuhalisia ni account binafsi ya mtu na akirogwa kutuma amekwisha.

Kuna Mzee ana RB toka Mwaka juzi.

Polisi wa nchi hii naobure kabisa,

1-namba zilitumika kutapeli zinapatikana hadi leo,

2-Account ya bank wanayo ila hakuna kinachoeleweka hadi leo.

Mara TCRA hawajajibu barua ili tuanze ku- track mara makao makuu vile.

Nashauri heri iwe physically.
 
Kumbe ni matapeli hivii
Nchinhii imeoza kqbisa
 
Jamaa wahuni sana. Ni kweli kila mtu ruksa kula kwa urefu wa kamba yake. Lakini kamba za hao jamaa zimezidi urefu!
 
Back
Top Bottom