Hi,
Vipi wakuu Ni mawasiliano gani unayapenda;. Yale ya kuwasiliana na mpenzi wako Mara kwa mara yaani asubui, mchana,jioni na usiku, au Ile ya asubui na usiku basi.
Au Yale ya kuwasiliana Leo mtachekiana Tena kesho yake, au Yale ya kuwasiliana Mara moja kwa wiki.
Wewe unapenda mawasiliano yapi Kati ya hayo?