Mawasiliano na Mahusiano

Sawa kabisa mamito tunakuja taratibu. Huyu mama anaishi kwa ajili ya watoto, huyu mama anakaa bila kuguswa kwa kuwa hawana tena magusano! Baba anamaliza hamu na haja zake nje huko anakotengeneza familia nyingine huyu mama ndio kusema hormons zake zimekufa au?
 
aisee FP...umenielewa kupita maelezo, thnx kwa kunyambulisha.

Usijali mamito................. sisi wamama wazoefu tunayajua hayo sana tu. ndo maana nasema huyo dada namwonea huruma tu ila najua yanayompata. sitaki kujiuliza yangenikuta hayo ningepambana nayo vipi.................... naomba tu KIKOMBE HICHO KISINIPATE
 

sasa mie nakwambiaje....watoto wapo happy kabisa kuwaona baba/mama yao pa1, wanatoka pa1, wanakula 1 , kanisani pa1..etc....hayo menigne 2waachie wenyewe...
 

huyu mama yupo kamili kabisa na hormones zake zipo sawa kabisa, ndo maana hapa nimesema ni swala la sadaka................... sadaka inauma sana rafiki...................... na hiyo ndo sadaka safi !!!!!!!!!!!!!!!!!! ha haaaaaaaaaaaaaa
 
mwambie the broom she uses to sweep that woman in that house will be the same to her. Ipo siku!


hutakaa uelewe mwanaume anahitaji nn kutoka kwa mwanamke, nilionyeshwa mwanamke mwenyewe kidogo ningepiga keleuwiiiiiii, yeye na my frnd dunia mbili tofauti....hanic wadada wanaonyenyekea kupita maelezo wanaume ndio wanakuwaga kwenye mitego hii, huyu frnd wangu kweli cjui hakustahili kuyapitia haya, yaani yeye alivyomjua walaaa, kajinyamazia tu wanakutana rodini wanaangaliana tu....mie nadhani ningeanza na msukuma nimalizie na mdada then niwaache waendelee na maisha yao....kwenye hili mdada ndio ningeharibu kabisa kabisa, yaani mpaka angeweza kunichukulia hivyo kweli angekuwa amepambana haswaa...cjui bwana maupole mengine nayo ujinga 2.
 
Hahahhahhhh nyamayao ndo nnapokupendeaga. Eti msukuma hakugusi kisa ana kikopo huko nje!! Walah atatamani kukata rufaa airudishe kwa mwenyewe na kubadilishiwa jinsia
 
Hahahhahhhh nyamayao ndo nnapokupendeaga. Eti msukuma hakugusi kisa ana kikopo huko nje!! Walah atatamani kukata rufaa airudishe kwa mwenyewe na kubadilishiwa jinsia

wkt ule wa kasheshe alikuwa ananiletea za kikuku kuku, nilimgomea!...sasa hv hata kama anae but anajua wajibu wake...."nile nishibe nicheue"
 
huyu mama yupo kamili kabisa na hormones zake zipo sawa kabisa, ndo maana hapa nimesema ni swala la sadaka................... sadaka inauma sana rafiki...................... na hiyo ndo sadaka safi !!!!!!!!!!!!!!!!!! ha haaaaaaaaaaaaaa
Dah ila bwana naanza kuamini kuwa INAWEZEKANA kwa wanawake tu! Wakiamua mbona wajane wa kike wanakaaga bila? So unaua tu hisia lol
 
wkt ule wa kasheshe alikuwa ananiletea za kikuku kuku, nilimgomea!...sasa hv hata kama anae but anajua wajibu wake...."nile nishibe nicheue"

Hahahh so alikuwa anajitia kuua soo kwa kuparuza! Hah akakuta nehi ndo akagundua kuwa alaa kumbe ni wajibu wangu so nikifanya ziada nje anajua atahitajika kufanya ovataim tena kwa kiwango kile kile si kulipua! Mbona kazi anayo! Big up mamii

Ila hapo pa kugoma si wanasemaga mkigombana wale marafiki hawagombani? Hahahaha mada nyingine hii
 

kwanza niligoma coz alikuwa ananitia 2 hamu, hakuna la maana alilokuwa anafanya, pili kama kapata huko nje aendelee huko huko....baada ya maelewano cku moja akaniuliza eti nilikuwa nafanyagaje/nimewezaje kuvumilia muda wote?"...mxsiii..... nilimjibu 2 kwamba "c yameshapita hayo"...huo mbanano uliotokea hapo ulikuwa balaa, alihic kulikuwa na kipoozeo!
 
Dah ila bwana naanza kuamini kuwa INAWEZEKANA kwa wanawake tu! Wakiamua mbona wajane wa kike wanakaaga bila? So unaua tu hisia lol

wanakaaga muda gani? na ushasema wajane tayari, tofauti kabisa na nyie mnaohemeana shuka moja!
 
Yaani hii sredi imebaki na watu watatu kama ifuatavyo:

Mbea: MwanajamiiOne a.k.a mjuu mtiifu
Mnoko: Nyamayao a.k.a mshiki
Mpayukaji: Fixed point a.k.a rafiki-mkwe.

Onyo: Mkisutana msinitafute
Karibuni biya!
 

Hahahhh wallah nyamayao unajua kucheza na wivu wa mumeo lha! Yaani hapo lazma aamini kuna kidume kinachezewa sarakasi.
 
Dah ila bwana naanza kuamini kuwa INAWEZEKANA kwa wanawake tu! Wakiamua mbona wajane wa kike wanakaaga bila? So unaua tu hisia lol
"God forbid" ila hata wewe au mimi yakitukuta tutaweza tu. haya mahisia huwa yanakuja sababu tuna watu wa kuyashughulikia, lakini kama unajua ngoma haina mpigaji mahisia yote yanayeyuka
 
Yaani hii sredi imebaki na watu watatu kama ifuatavyo:

Mbea: MwanajamiiOne a.k.a mjuu mtiifu
Mnoko: Nyamayao a.k.a mshiki
Mpayukaji: Fixed point a.k.a rafiki-mkwe.

Onyo: Mkisutana msinitafute
Karibuni biya!

ha haaaaaaaaaaa, utatutaka............ na tutakusuta
 
By Nyamayao

wkt ule wa kasheshe alikuwa ananiletea za kikuku kuku, nilimgomea!...sasa hv hata kama anae but anajua wajibu wake...."nile nishibe nicheue"



Hilo nalo neno ukizingatia ndio kubwa lilokufanya ukaapa mpaka vile viapo!
 

Tatozo la wanawake wa kisasa hawasemi ukweli, hivi mtu anakuja na ulevi wake anakushika kama anakupeleka buchani unamwanalia tu? Unapiga kelele kama Kipofu Bathromey. Ile hoja ya kutokuwa na mawasiliano nyumbani ndiyo chanzo kikubwa kinafanya watu waende kufanya hayo maujinga nje ya ndoa zao.

Imagine kama leo hujafurahi ukamwambia mwenzio unafikiri kitu kile kitajitokeza tena? Mimi wangu aende kwa sababu ndiyo tabia yake tangu tumboni mwa mamake, kikawaida kama sijui kitu nitaenda kwa makungwii nalipa hela nafudindishwa mambo yanaenda.Hakuna kitu kinashidikana ukiamua.

AMUENI SASA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…