Mawasiliano katika mahusiano

kwa kweli communication ni key kwenye relationships ,mtu akikuudhi unamwambia sio kukimbia kuleta thread JF!
 
Aliumiza hisia zangu nikamwambia kuwa kuna kitu amefanya kimeniumiza. Amenuna, hanitext wala kupiga. Leo ni siku ya 5. Sijui ndo tumebreak up. [emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimenuna kwasababu ile sms yako ya usiku sikuipenda ndio maana. Na kwanini usinitafute mwenyewe uje hapa kunisema? Unajua bado nakupenda lakini ukimya wako naelewa kusudio lako.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…