Tulikuwa tunawasiliana vizuri,but akaanza kuchange ghafla .Kumuuliza hajibu kinachoeleweka.Nikaghairi.Japo bado nampenda, ila imenibidi mimwache.Katika uhusiano wowote ule mawasiliano ndio nguzo kuu, je nini kilitokea mpaka ukaacha kuwasiliana na mtu ambae mlikuwa mna mawasiliano hai na yenye nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry mkuu mimi mpaka Leo hajawai kunipa jibu la kwanini yuko kimya mpaka umtafute wewe kwa vocha yako dunia simama nishuke
DuhManeno... Yaani mtu anasikiliza maneno ya uongo anakuja kukuhukumu moja kwa moja!
Mie rafiki wa hivyo nakata mawasiliano moja kwa moja!
Au ni ile "naomba unisaidie kitu"Sorry mkuu mimi mpaka Leo hajawai kunipa jibu la kwanini yuko kimya mpaka umtafute wewe kwa vocha yako dunia simama nishuke
alishawai nikamshughulikia kwa kile kidogo
Vijana tucheni mambo ya mapenzi tufanye kazi, mapenz hayalazimishwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Zungumzia kupigwa mashine ni muhimu napo ili kuweka vizuri post yako!Mapenzi hayaepukiki. Inevitable, Essential. Kwani mapenzi yakiwepo kazi huwezi kufanya? Love ni muhimu kwa kila kiumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ni muhimu kwako. Sio kwangu mwayaZungumzia kupigwa mashine ni muhimu napo ili kuweka vizuri post yako!
Mtafute myamalize kwa njia stahikiAliumiza hisia zangu nikamwambia kuwa kuna kitu amefanya kimeniumiza. Amenuna, hanitext wala kupiga. Leo ni siku ya 5. Sijui ndo tumebreak up.
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha haZungumzia kupigwa mashine ni muhimu napo ili kuweka vizuri post yako!
Bora silent break up kuliko ile ya maneno..Mtafute myamalize kwa njia stahiki
Aliyeshiba lazima afikirie mapenzi,mwenye njaa inabidi afikirie kibarua/kaziVijana tucheni mambo ya mapenzi tufanye kazi, mapenz hayalazimishwi
Sent using Jamii Forums mobile app