Tatizo tukituma sms kuwajulia hali huwa kila siku mnajibu hali mbaya Mara jino lauma,Mara mama mgonjwa Mara kimeenda kimerudi ilimradi tu mpige
Kizinga
Ukiona mwanamke anakutumia SMS sana ,anajipendekeza ,jichunguze huyo anatafuta target ya kukupiga mzinga,
wanaume ni Wa ajabu sana maskini wengine wanakuja hapa wanalia eti wapenzi wao hawawatumii hata SMS ila wengine wakitumiwa hata hawajibu. siku zote penye miti hakuna wajenzi.
kuna mwingine Analia hata apate "goodnight" hapati kila saa anaangalia kama kuna sms ikiingia tu fasta anaenda kuangalia anakuja ni vodacom wanamkumbusha kulipa deni la nipige tafu ,soo sad.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.