Tundu A. M. Lissu....Bwana huyu ni kiboko. Inasemekana ni mtaalamu sana wa kuwachanganya mahasimu wake kwa maswali ya mitego kiasi kwamba hasimu bila kujua anajikuta anakuwa shahidi wa Tundu..
Sahihi mawakili wanajuana wenyewe.....hao layman ...hawajui chochote zaidi ya ushabikiHao Mawakili Wasomi hawana tofauti na ambao hukuwataja. Isipokuwa ni kwamba, wao hao ni maarufu kupitia media. Mkuu, ni vyema ukaheshimu kila Wakili kwakuwa kila mmoja ana uwezo wake wa kipekee katika nyanja fulanifulani za uga wa sheria. Huwezi kujua vyote na huwezi kutojua chochote
Maboya tuMwakyembe? Ackson Tulia?
Ni wabunge wateuleMwakyembe? Ackson Tulia?
Neno wakili msomi lina maana gani?......au kuna na uwakili wa heshima?......Mimi ninachojua mawakili wore ni wasomi wazuri, tatizo wengine hutanguliza maslahi binafsi badala ya ukweli, na wengine ni wazito kutafsiri sheria zenyewe mbele za Mahakama .
Hao uliowataja ni mfano mzuri wa wakili kuwajibika kwa taaluma yao.
Kama nilivyosema katika hoja hii hapo juu ni kuwa mawakili wote ni wasomi na wamefuzu lakini wengine kwa maslahi binafsi wanashindwa kuonyesha ueledi waoNeno wakili msomi lina maana gani?......au kuna na uwakili wa heshima?......
Napenda tuwajue mawakili wasomi kuwahi kutokea Tanzania
1. Masumbuko Lamwai
Huyu bwana ni bonge la mwanasheria kuwahi kutokea. Aliwahi kumwambia Waziri mmama mmoja kuwa ni Malaya. Yule waziri alipaniki na kuanza kutoa matusi mbele ya jaji.
Katika kuthibitisha umalaya wake, Wakili Lamwai alitoa picha za watoto wa mama yule watatu na picha za baba wa watoto wale yaani kila mtoto na babaye. Waziri alificha uso kwa aibu.
Lamwai enzi hizo alikuwa upinzani yaani NCCR-Mageuzi. Sijui kwa sasa aliko.
2. Tundu A. M. Lissu
Bwana huyu ni kiboko. Inasemekana ni mtaalamu sana wa kuwachanganya mahasimu wake kwa maswali ya mitego kiasi kwamba hasimu bila kujua anajikuta anakuwa shahidi wa Tundu.
Inasemekana hajawahi kushindwa kesi labda watumie nguvu ila hoja.
3. Peter Kibatala
Huyu ni mtaalamu wa kutafisiri sheria kiasi kwamba hata Jaji angependa kusikia sheria ikitafisiriwa na huyu Wakili ili na yeye ajifunze.
Naomba uongezee kwa kujenga siyo kubomoa.