nashindwa kuelewa au majaji na mahakimu nao ni hamna kitu, maana ni kibatala huyuhuyu aliyeshinda kesi nyingi tu kwenye mahakama hizihizi!!!!. unaweza ukayadharau sana mswali wanayoyauliza lakini yanasaidia sana mahakama kuunga vi-dot na kupata mkasa mzima na kuweza kuamua kesi. kama ulifuatilia impeachment ya Bill Clinton aliyekuwa presidaa wa Us kwenye saga yake na Monica lewinsky ni tafsiri unazoweza kuziona ndogo na za hovyo kabisa lakini ndio zilimuokoa mzee mzima