Wakuu,
Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu.
Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii.
Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi.
Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk
Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?
Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua.
Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.
Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
Pathetic! Hakuna criminal defendant atakayetiwa hatiani kama testimonies za criminal defendants zitabebwa na mahakama at face value.
Ungekuwa umesoma sheria na kuielewa wala usingejiaibisha kwa kuleta uzi huu. Kuhoji ndo kazi ya wakili bila kujali kama anahoji mambo makubwa au madogo. Kweli ujinga ni mzigo.Wakuu,
Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe Mahakamani na kesi iishe mapema tu.
Hawa Mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii.
Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi.
Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk
Lakini pia waliigomea Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya Mbowe, yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui?
Walishauri Mbowe agomee yule Jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua.
Kwa mwenendo wa Mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii.
Ni vema Tundu Lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru Mwenyekiti.
Mwenye uwezo mdogo ni wewe mwenyewe...Wakuu,

Mwenye uwezo mdogo ni wewe mwenyewe...
Jaribu kutafuta na kusoma maamuzi ya Jaji word by word... Ukiyaelewa rudi tena uandike
Pathetic! Hakuna defendant atashinda kesi yoyote kama only prosecution allegations ndizo zitakuwa zinakuwa taken into consideration na mahakama and at face value.
Ushahidi wa polisi pekee ndiyo umezingatiwa na Jaji Siyani kwenye shauri hili and at face value!
Hakika hata kama wakili angekuwa Mungu angeshindwa hii kesi.
Unahitaji kufanya toba. Mungu hadhihakiwi.
Mnahitaji toba. Hukumu za ghiliba na haramu zake ni machukizo kwa Mungu.
Mara hii mimi nimeshakuwa judge au hakimu?
Wapi unaposoma umekuwa jaji au hakimu?
Utakuwa jaji au hakimu wewe?
Angalizo: kwenye "haramu zake" ndipo panapo kuhusu wewe kikamilifu!
Mimi nisiyetoa hukumu ninahusikaje na haramu zake?
Ukishangilia, ukidemkia, ukishadadia, ukikomalia uharamu wake eti kuwa uonekane ni halali na yote ya namna hiyo, huwezi kujitenga na haramu husika.
That's where you fit tightly.
Jaji kakimbia kesi ***** kaamrishwa juuHao mawakili uchwara walifikiri wazungu wao watamtetemesha jaji.
Mimi sijashangilia. I just cannot take sides as most of you do. Just because I didn’t reject the judge’s decision it doesn’t mean that I sided with him. I just don’t have any compelling reason for rejecting his decision.
Ninatambua ugumu wa kazi wanazofanya wenye dhamana ya kusikiliza na kuamua mashauri. Almost hakuna mtuhumiwa anayeweza kufanya self incrimination akiwa kwenye witness stand. In fact, most criminal defendants tend to engage in emotional manipulation to win a judge’s sympathy.
Mamlaka yauteuzi, imeamua...Hakuna cha mawakili wala cha nani, ukweli ni kwamba Tanzania kwa sasa hatuna credible judiciary, period.
Toka Magufuli alivyowambia majaji kwa nini serikali inashindwa kila kesi ilhali yenyewe ndio inatoa pesa za kuendeshea hizo mahakama na akateua na jaji mkuu kwa "Blackmail Style of Appointment" basi akawa ameinajisi kabisa idara ya mahakama.
La pili, serikali ya ccm kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakiwaweka kwenye idara ya mahakama majaji na mahakimu ambao ni aidha wanachama wa chama chao au ni watumishi wa idara ya usalama wa taifa jambo ambalo limechangia kuua kabisa mhimili wa mahakama na matokeo yake ndio haya tunayoyashuhudia leo, mara Sugu afungwe kiuonevu, mara Lema anyimwe dhamana na sasa ni zamu ya Mbowe na bila shaka orodha itaongezeka huko mbeleni.
Ulikua wapi kusema au ndiyo copy and paste kasema yule bwana nawe umeungaKibatala hana uwezo kama tunavyoaminishwa ....
Kuwa Jaji kiongozi lazima ufanye uonevu kwa chadema Hii ni aina ya Rushwa mpya kugawana vyeo baada ya maamuzi haramu ya kishetaniUkishangilia, ukidemkia, ukishadadia, ukikomalia uharamu wake eti kuwa uonekane ni halali na yote ya namna hiyo, huwezi kujitenga na haramu husika.
That's where you fit tightly.
Pana mkurulo mrefu wa mambo pale, sina hakika kwanini umechagua kushangilia peke yake:
View attachment 1983722
You accuse others for taking sides, yet you don't want to be accused for the same?!
Not taking sides is not by mere words. Neither, does not mean persistently demeaning those you think have taken sides yet on no grounds.
Natural justice. Is it not?