Sema mamlaka za taifa uwezo umevamiwa ungeeleweka, huo mwingine ni ule uzalendoaslahi. Na sii vinginevyo.Wakuu
Ni wazi shairi Mbowe si gaidi maana tulitegemea ushahidi utolewe mahakamani na kesi iishe mapema tu
Hawa mawakili wakiongozwa na Peter Kibatala wamekuwa wakihoji mambo madogo kabisa yasiyokuwa na msingi wowote katika kesi hii
Walituaminisha iko kidubwana kinachoitwa PGO kinaenda kumaliza hii kesi ndogo kumbe imechelewesha kesi yenye msingi
Wamekuwa wakihoji maswali ya vyakula na vinywaji kama vile mo energy mara nani alilipia nk
Lakini pia waliigomea mahakama kuu division ya makosa ya jinai kwamba haina hadhi ya kujudge kesi hii ya mbowe...yaani hata hili kweli walikuwa hawalijui!!?
Walishauri mbowe agomee yule jaji wa kwanza na akajitoa kusikiliza kesi hiyo, sasa hata huyu aliyeanza kuisikiliza amejiengua
Kwa mwenendo wa mawakili hawa naiona hii kesi inaenda kuishia kubaya kwani uwezo wao ni mdogo kulinganisha na kesi hii
Ni vema Tundu lissu arejee kuisimamia ili kumnusuru mwenyekiti
Wakuu

Eee! Kumbe hata sabaya kaonewaHakuna Mahakama za kuamua kwa haki.
Mbona kwa sabaya ulishangilia sana manka?Nyoko zenu kabisa buku 7 kazini.....kesi mnaamua jumba jeupe mnasingizia upuuzi....gaidi mchezo ? Subirini waķija kulipa kusasi cha Hamza ndio mtaelewa Gaidi ni nini upuuzi wa Mahitq... mnaita eti Ugaidi hahahaha hao wanataka nyota za bure ......subirini waje waźeya mtasimuliq kuwa gaidi anakuwaje...wachumba hao mnasema eti wapelekezi wa ugaidi ahahahha kazi kweli tusubiri muda utaongea
Kwani utofauti wake nini?Kesi ya Sabaya na ya Mbowe wapi na wapi ndugu?
Unaonaje sukuma gang wanavyokomeshwa na mama?Kama hukumu imeshaamuliwa hata wakili awe Yesu Kristo ni kutwanga maji kwenye kinu:
Kesi ya Mbowe: Haki Haikuonekana Kutendeka
Yule jaji ni dhaifu kalazimika kutoka na neno la shukurani kwa uteuzi.
Ama kweli kakilinda kitumbua chake na familia yake kwa gharama ya washitakiwa.
Hiiiiii bagosha!
Waweza kuwa kweli huoni; hao ni watu/binadamu tofauti, na hata mashitaka kila mmoja aliyonayo ni tofautiKwani utofauti wake nini?
Utofauti wa mashitaka sawa!Waweza kuwa kweli huoni; hao ni watu/binadamu tofauti, na hata mashitaka kila mmoja aliyonayo ni tofauti
Kwa hiyo?Utofauti wa mashitaka sawa!
Lakini mahama si ni hizi hizi?
Kibatala hana uwezo kama tunavyoaminishwa ....
Tatizo sio mawakili,shida ni wenye mamlaka.
Wameamua lao..
Ona hiiiii nayoNyoko zenu kabisa buku 7 kazini.....kesi mnaamua jumba jeupe mnasingizia upuuzi....gaidi mchezo ? Subirini waķija kulipa kusasi cha Hamza ndio mtaelewa Gaidi ni nini upuuzi wa Mahitq... mnaita eti Ugaidi hahahaha hao wanataka nyota za bure ......subirini waje waźeya mtasimuliq kuwa gaidi anakuwaje...wachumba hao mnasema eti wapelekezi wa ugaidi ahahahha kazi kweli tusubiri muda utaongea
Wewe una uwezo gani? Wa kugombea komoni kilabuni?Kibatala hana uwezo kama tunavyoaminishwa ....
nadhani nimeshawhi kusema hivyo mara kadhaaKibatala hana uwezo kama tunavyoaminishwa ....
Mmh Lissu mmoja tuu alikuwa anawatoa jasho mpaka wakaamua aende kuzimu, tatizo likawa Mungu akawa hajalala...Wapingaji wa serikali tu ndio wangesifu kwa mapambio
Kiuhalisia mawakili wa serikali wanawaburuza akina kibatala