Mawakili wa serikali kazeni uzi angalau Lema atoke mwezi wa pili

Kama kukaa kwa Lema ndani kunakuongezea unga debe kwako then endelea kumuombea Mabaya .
Kama ni siasa tu unafanya then bado una practice siasa za Miaka hiyoooo,Miaka ambayo mtu wa chama kingine alikuwa anaonekana mhaini na msaliti na anatakiwa kupotezwa.
We are in new era mkuu wake up siasa za kukomoana au kulipiza kisasi ilishapitwa na wakati,we are in modern political era,siasa za kiuchumi,siasa za maendeleo sio elimination ,hoja kwa hoja ,sio hoja kwa propaganda mkuu.

Ndiyo maana EL, Mbowe and co, Ltd wako free kwa sababu wanajua siasa siyo matusi wala kashfa na huyo yumo chumbani kwa sababu ya kashfa zake. HAKUNA UHURU USIOKUWA NA MIPAKA HATA MBINGUNI MALAIKA HAWAGUSI ALIPO MUUMBA WAO.
 
Nitasimamia Ukweli Daima na Mawakili wa Serikali wamekua wanajitahidi sana katika kufanya kazi zao na mimi nawaambia wakaze Uzi ili angalau Lema atoke mapema mwakani mwezi wa Pili kwani atakua kajifunza kufuatia tabia yake chafu ya kumkejeli na kumtukana mheshimiwa Rais.

Ili iwe funzo kwa wote wasioheshimu mamlaka kwa kujivunia eti Mawakili wasomi kama akina Kibatala kuwa watawatoa na kudharau Mawakili wa Jamuhuri.
Itakufaidisha nini?
 
Tayari amesharudishwa mahabusu.Cheers!!!
 
Mandela alikaa miaka 30 jela lakini mapambano yaliendelea na uhuru wakapata what we need is [HASHTAG]#Justice4lema[/HASHTAG], [HASHTAG]#freedomofspeech[/HASHTAG], [HASHTAG]#jamiiforumtuwehurukuchangia[/HASHTAG], [HASHTAG]#BringbackBenSaananeAlive[/HASHTAG].
The man has to be detained so as to get the lesson, anasumbuwa huyu atasababisha hata raia wastuamini tena 2020
 
Nitasimamia Ukweli Daima na Mawakili wa Serikali wamekua wanajitahidi sana katika kufanya kazi zao na mimi nawaambia wakaze Uzi ili angalau Lema atoke mapema mwakani mwezi wa Pili kwani atakua kajifunza kufuatia tabia yake chafu ya kumkejeli na kumtukana mheshimiwa Rais.

Ili iwe funzo kwa wote wasioheshimu mamlaka kwa kujivunia eti Mawakili wasomi kama akina Kibatala kuwa watawatoa na kudharau Mawakili wa Jamuhuri.
Enyi ma wakili wa serikali, hakikisheni kabisa huyu kiumbe Lema ananyimwa dhamana ili akae jela mpaka Krismasi ipite, mwezi wa kwanza upite na mwezi wa pili nao upite, na kesi yake ashindwe ili akafungwe mpaka 2021, ili akitoka akute Mbunge ni mwingine ila Rais ni huyo huyo Dkt Magufuli.
 
Kwani kipi ni chuo cha mafunzo. Unapokuwa mfungwa au rumande?

Naomba kuelezwa ukubwa akili zinazoweka watu rumande halafu zinashindwa kesi
 
Enyi ma wakili wa serikali, hakikisheni kabisa huyu kiumbe Lema ananyimwa dhamana ili akae jela mpaka Krismasi ipite, mwezi wa kwanza upite na mwezi wa pili nao upite, na kesi yake ashindwe ili akafungwe mpaka 2021, ili akitoka akute Mbunge ni mwingine ila Rais ni huyo huyo Dkt Magufuli.
Best Comment ever!
 
Nitasimamia Ukweli Daima na Mawakili wa Serikali wamekua wanajitahidi sana katika kufanya kazi zao na mimi nawaambia wakaze Uzi ili angalau Lema atoke mapema mwakani mwezi wa Pili kwani atakua kajifunza kufuatia tabia yake chafu ya kumkejeli na kumtukana mheshimiwa Rais.

Ili iwe funzo kwa wote wasioheshimu mamlaka kwa kujivunia eti Mawakili wasomi kama akina Kibatala kuwa watawatoa na kudharau Mawakili wa Jamuhuri.

Uko very right Mkuu. Asipotoka gerezani Lema nasikia Tanzania itakuwa ya viwanda muda si mrefu..
 
Haki imetendeka

mkuu hiyo ndio raha ya madaraka africa, ww na wale wote wanaokulamba miguu mnakuwa juu ya sheria, lakini wale unaotofautiana nao akinyanyua pua unaye. Hivi mkuu hao mawakili wa serekali wakowapi wasipewe ile kesi ya IPTL tunayolipishwa mamilioni kila siku bila huduma. Au wanaweza kesi za ndoto tu zisizo na tija kwa taifa. Sifa nyingine mnazowapa ni kama kuwakebehi.
 
Mwezi wa pili mkuu ni mapema mno angalau mwezi wa sita ili ashike adabu maana dini anayoiamini ni ya vichaa maandiko yanasema ''TIINI WENYE MAMLAKA MAANA HAKUNA MAMLAKA ISIYOTOKA KWA MUNGU'' Sasa Lema anapata wapi jeuri ya kumkashifu Rais ambaye mamlaka yake yametoka kwa Mungu? Huyu hajafundishwa adabu kwao mwache ajifunzie gerezani maana anajifanya yeye ni Mandela wa Tanzania huyu Bosi wake mwenyewe hakashifu kwa kuwa anajua dola ipo. NASHAURI AKAE GEREZANI MPAKA JUNE 2017.
Hii ndio shida ya kukariri maandiko bila kuelewa maana yake. Nani anakudanganya kwamba mamlaka ya JPM imetoka kwa Mungu? Ni kweli hujui kwamba mamlaka ya JPM ipo kwa mujibu wa katiba baada ya kuchaguliwa kwa kupigiwa kura na baadhi ya watz?
Uwe unakwenda Bible Study mara kwa mara ili upate maarifa juu ya maandiko. Usiwe unachomoka na mstari mmoja ukadhani ndio umemaliza kila kitu.

Jamii imekuwa ikipotoshwa sana na huu mstari, eti mamlaka zote zinatoka kwa Mungu. Unamkumbuka Herode, Nebukadneza, Farao? Hawa walikuwa na mamlaka, yalitoka kwa Mungu? Soma Biblia yako vizuri mkuu.
 
mkuu hiyo ndio raha ya madaraka africa, ww na wale wote wanaokulamba miguu mnakuwa juu ya sheria, lakini wale unaotofautiana nao akinyanyua pua unaye. Hivi mkuu hao mawakili wa serekali wakowapi wasipewe ile kesi ya IPTL tunayolipishwa mamilioni kila siku bila huduma. Au wanaweza kesi za ndoto tu zisizo na tija kwa taifa. Sifa nyingine mnazowapa ni kama kuwakebehi.
Achana na huyo mchumia tumbo aliyeingia jf kwa mkakati wa kishamba .
 
Haki imetendeka
Inategemea uko upande gani.La muhimu ni kuwa kwa sheria tunzozijua shtaka lina dhamana na kwa nini hapati dhamana hiyo iko nje ya uwezo wetu.
La pili Lusekelo katishia watu kifo lakini hakuna hatua iliyochukuliwa.Double standard na kuamini kuwa dunia itakuwa hivi all the time itatugharimu.
Long term impact ni kuwa mahakam inaweza kupoteza credibility hasa kutokana na ufanisi wa sasa wa uwekaji kumbukumbu.
Inatosha.
 
Nitasimamia Ukweli Daima na Mawakili wa Serikali wamekua wanajitahidi sana katika kufanya kazi zao na mimi nawaambia wakaze Uzi ili angalau Lema atoke mapema mwakani mwezi wa Pili kwani atakua kajifunza kufuatia tabia yake chafu ya kumkejeli na kumtukana mheshimiwa Rais.

Ili iwe funzo kwa wote wasioheshimu mamlaka kwa kujivunia eti Mawakili wasomi kama akina Kibatala kuwa watawatoa na kudharau Mawakili wa Jamuhuri.
Sio bure mkuu una kafaida unakokapata....si ndio?
 
Back
Top Bottom