Mawakili wa serikali kazeni uzi angalau Lema atoke mwezi wa pili

Mandela alikaa miaka 30 jela lakini mapambano yaliendelea na uhuru wakapata what we need is [HASHTAG]#Justice4lema[/HASHTAG], [HASHTAG]#freedomofspeech[/HASHTAG], [HASHTAG]#jamiiforumtuwehurukuchangia[/HASHTAG], [HASHTAG]#BringbackBenSaananeAlive[/HASHTAG].
Mandela alikuwa mpigania uhuru wa taifa, Lema anapigania nini, je yeye ni nani, yeye kama mbunge wa jimbo hawezi hata kuinfluence hata wilaya moja kati ya wilaya takribani 175 za nchi yetu. Acheni kupoteza muda kujadili ndoto za mchana. Akitoka atakuwa mpole kinyume na matarajio yenu vijana msiojielewa.
 
Ni kweli kuwa Mandela halinganishwi kirahisi, lakini Mhe. Lema sio mtu wa kubeza! Ana uwezo wa kufanya mambo mengi ya faida kwa umma wa watanzania ambayo watu wengi hatuwezi. Kwa Tanzania, Mheshimiwa Lema ni mpiganaji.
Pole, unapotea, Lema ni raia tu Tz hana uwezo wowote ktk nchi labda ktk familia yake.
 
Kama kukaa kwa Lema ndani kunakuongezea unga debe kwako then endelea kumuombea Mabaya .
Kama ni siasa tu unafanya then bado una practice siasa za Miaka hiyoooo,Miaka ambayo mtu wa chama kingine alikuwa anaonekana mhaini na msaliti na anatakiwa kupotezwa.
We are in new era mkuu wake up siasa za kukomoana au kulipiza kisasi ilishapitwa na wakati,we are in modern political era,siasa za kiuchumi,siasa za maendeleo sio elimination ,hoja kwa hoja ,sio hoja kwa propaganda mkuu.
You are right about the new political era but where do Lema utterances fit in such political space?
 
Wafuasi wa chadema muombeni Lowasa akamtoe lema japo ale sikukuu maana naona mbowe hana time na lema wala Ben.
 
Back
Top Bottom