Mawakili wa serikali kazeni uzi angalau Lema atoke mwezi wa pili

Nitasimamia Ukweli Daima na Mawakili wa Serikali wamekua wanajitahidi sana katika kufanya kazi zao na mimi nawaambia wakaze Uzi ili angalau Lema atoke mapema mwakani mwezi wa Pili kwani atakua kajifunza kufuatia tabia yake chafu ya kumkejeli na kumtukana mheshimiwa Rais.

Ili iwe funzo kwa wote wasioheshimu mamlaka kwa kujivunia eti Mawakili wasomi kama akina Kibatala kuwa watawatoa na kudharau Mawakili wa Jamuhuri.
Akili ya mtu huonekana kwa maneno na matendo yake
 
Nitasimamia Ukweli Daima na Mawakili wa Serikali wamekua wanajitahidi sana katika kufanya kazi zao na mimi nawaambia wakaze Uzi ili angalau Lema atoke mapema mwakani mwezi wa Pili kwani atakua kajifunza kufuatia tabia yake chafu ya kumkejeli na kumtukana mheshimiwa Rais.

Ili iwe funzo kwa wote wasioheshimu mamlaka kwa kujivunia eti Mawakili wasomi kama akina Kibatala kuwa watawatoa na kudharau Mawakili wa Jamuhuri.
Siku hizi traffic wanajificha wakiwa na camera zao na baada ya kumnasa mkosaji wanatoa taarifa kwa wenzeo waliombele yako, ukifika unabambwa na kutozwa faini; hvi na wewe ndio mbinu yako ili mtu aseme la kusema mmkamate kwa makosa ya mtandao?
 
Usimlinganishe Mandela na vitu vya kijinga.
Ni kweli kuwa Mandela halinganishwi kirahisi, lakini Mhe. Lema sio mtu wa kubeza! Ana uwezo wa kufanya mambo mengi ya faida kwa umma wa watanzania ambayo watu wengi hatuwezi. Kwa Tanzania, Mheshimiwa Lema ni mpiganaji.
 
Nitasimamia Ukweli Daima na Mawakili wa Serikali wamekua wanajitahidi sana katika kufanya kazi zao na mimi nawaambia wakaze Uzi ili angalau Lema atoke mapema mwakani mwezi wa Pili kwani atakua kajifunza kufuatia tabia yake chafu ya kumkejeli na kumtukana mheshimiwa Rais.

Ili iwe funzo kwa wote wasioheshimu mamlaka kwa kujivunia eti Mawakili wasomi kama akina Kibatala kuwa watawatoa na kudharau Mawakili wa Jamuhuri.
Hapa duniani kumtakia mwenzio mabaya ni sawa na kujitafutia laana. Kukaa kwake ndani hakukuongezei wewe hata siku moja ya kuishi.
 
naunga mkono hoja! na akitoka akiropka tena akae miezi mitatu
 
Hata biblia kitabu kitakatifu kinatuambia tuheshimu mamlaka.....zilizopo.....
Kitabu kitakatifu hakijaagiza tutii ukandamizaji kama ule
Ulishatuomba radhi kwa utumbo uliokuwa unaposti naona umerudia mataputapu yako

Nimepost utumbo au nimepost usichotaka kukisikia wewe...!!??

Heshimu maoni ya wengine na huo ukomavu wa kisiasa.....
Ni kweli ni mawazo yako lkn ni potofu kwani Lema hajatukana mtu bali alitahadharisha kuwa mkuu asipoacha ukandamizaji hukumu yamsubiri.
 
Kitabu kitakatifu hakijaagiza tutii ukandamizaji kama ule

Ni kweli ni mawazo yako lkn ni potofu kwani Lema hajatukana mtu bali alitahadharisha kuwa mkuu asipoacha ukandamizaji hukumu yamsubiri.

Ngoja tuyamalize mabishano....kwa kuwa naona umechanganya na utashi wako.....
 
Nitasimamia Ukweli Daima na Mawakili wa Serikali wamekua wanajitahidi sana katika kufanya kazi zao na mimi nawaambia wakaze Uzi ili angalau Lema atoke mapema mwakani mwezi wa Pili kwani atakua kajifunza kufuatia tabia yake chafu ya kumkejeli na kumtukana mheshimiwa Rais.

Ili iwe funzo kwa wote wasioheshimu mamlaka kwa kujivunia eti Mawakili wasomi kama akina Kibatala kuwa watawatoa na kudharau Mawakili wa Jamuhuri.

Mwezi wa pili mkuu ni mapema mno angalau mwezi wa sita ili ashike adabu maana dini anayoiamini ni ya vichaa maandiko yanasema ''TIINI WENYE MAMLAKA MAANA HAKUNA MAMLAKA ISIYOTOKA KWA MUNGU'' Sasa Lema anapata wapi jeuri ya kumkashifu Rais ambaye mamlaka yake yametoka kwa Mungu? Huyu hajafundishwa adabu kwao mwache ajifunzie gerezani maana anajifanya yeye ni Mandela wa Tanzania huyu Bosi wake mwenyewe hakashifu kwa kuwa anajua dola ipo. NASHAURI AKAE GEREZANI MPAKA JUNE 2017.
 
Mandela alikaa miaka 30 jela lakini mapambano yaliendelea na uhuru wakapata what we need is [HASHTAG]#Justice4lema[/HASHTAG], [HASHTAG]#freedomofspeech[/HASHTAG], [HASHTAG]#jamiiforumtuwehurukuchangia[/HASHTAG], [HASHTAG]#BringbackBenSaananeAlive[/HASHTAG].
As Lema hata miez 6 c haijafika jamani!!
 
Utakufa kama faru john ww. Kuna mamlaka za kishetani na Mungu. Farao na Daudi zote zilikuwa mamlaka,tutii ipi?Ya Mungu au ya awamu ya Tano?

Tii unayona ni mamlaka halali ambayo kutii kwako hakutakuingiza gerezani. Mamlaka ulizozitaja zote zilikuwa za Mungu bila ujeuri wa Farao usingejua uwezo wa Mungu.
 
Mwezi wa pili mkuu ni mapema mno angalau mwezi wa sita ili ashike adabu maana dini anayoiamini ni ya vichaa maandiko yanasema ''TIINI WENYE MAMLAKA MAANA HAKUNA MAMLAKA ISIYOTOKA KWA MUNGU'' Sasa Lema anapata wapi jeuri ya kumkashifu Rais ambaye mamlaka yake yametoka kwa Mungu? Huyu hajafundishwa adabu kwao mwache ajifunzie gerezani maana anajifanya yeye ni Mandela wa Tanzania huyu Bosi wake mwenyewe hakashifu kwa kuwa anajua dola ipo. NASHAURI AKAE GEREZANI MPAKA JUNE 2017.
What a good comment!
 
Mandela alikaa miaka 30 jela lakini mapambano yaliendelea na uhuru wakapata what we need is [HASHTAG]#Justice4lema[/HASHTAG], [HASHTAG]#freedomofspeech[/HASHTAG], [HASHTAG]#jamiiforumtuwehurukuchangia[/HASHTAG], [HASHTAG]#BringbackBenSaananeAlive[/HASHTAG].
Na yeye asubiri miaka 27 km ya mandela
 
Back
Top Bottom