Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,817
Watu wanaaminishwa kuwa wakifika peponi watapewa wanawake mabikra 70 wa kumt*mba muda wote... utafikiri huko peponi itakuwa ni danguro au Casino
kwa Zanzibar ilivyokuwa wazi ni rahis sana magaidi kuingia na kutoka
The point is, kwenye kurani Kuna vifungu vinahamasisha watu kufia diniWaliotenda matendo hayo tafadhali wasihusishwe na dini wala msimamo WA nchi fulani, hao NI waharifu kama waharifu wengine .
Na nikwanini tuambiwe kuhusu wema kwenye Mambo ya dini? Sijui wewe Ni kabila gani. lakini sizani Kama umewahi kuambiwa au kufundishwa kuhusu wema wa wagogo wa kurya wazaramo au kabila lingine lolote lile kwanini hii chuki iko kwenye dini tulizo letewa na si kwa makabila Kama ilivyokua kabla ya dini zakigeni kuja?Kuna Waislamu wengi wanao elewa mafundisho ya dini yao vizuri.
Ila kuna wachache sana na ndio hao wanao leta fujo.
Wameshindwa kabisa kuyafafanua na kuyaelewa mafundisho mazuri ya dini ya kiislamu.
Ushauri
Waalimu wa Kiislamu kuanzia Wazazi Viongozi wa Madrasa hadi vyuo wanao wajibu wa kuwafundisha vijana wao madhumuni mazuri ya dini ya Kiislamu.
Hii ni pamoja na kuwaambia kuhusu watu wa dini nyingine kama Wayahudi na Wakristo kuwa ni watu wema pia.
Ugaidi unaanzia katika malezi ya ngazi ya familia na kuendelea.
Asikudanganye mtu ndugu yangu,holi suala si la visiwan pekee,hata huku bara lipo.Mdogo wangu wa mwisho toka mwaka jana hajulikani alipo.Nae alikuwa na dalili hizo.Cha muhimu haya yameonekana ktk ardhi inakodaiwa kuna nchi inafuata sheria za kidini na maandishi yameonekana ni ya dini husika pia kamanda anayetoa arifa ni dini hiyo hiyo na ni mwananchi wa nchi husika basi waachwe wajichunguze sisi tunasubiri taarifa.
Kwani Ni lazima kwenda kwenye nyumba za ibada?Vijana wetu wataponea wapi?
- Wanabakwa kwenye nyumba za ibada
- Wanafundishwa uasi kwenye nyumba za ibada
Ni kweli kupigana jihad ni lazima kwa kila muislamu yule ambaye anavigezo( wazee na watoto awaruhusiwi kwenda kwenye jihad) .. palestina kila siku watu wanauliwa na wamepòrwa ardhi yao mbona IS na alshabab awajawai kwenda kuwasaidia wenzao kama kweli wanachopigania ni jihad? unakuja kugundua kuwa ivi vikundi vinatengenezwa na wao wenyewe west kwa maslahi yao ..Nakuja kwenye sheria za jihad moja wapo ya sheria ya jihad airuhusiwi kumpiga mtu aliyekuwa nje ya uwanja wa vita,watoto,wazee na wanawake .. tuangalie leo alshabab wanachofanya je kinaendana na izo sheria apo juu?Mb
Mkuu nielimishe,mbona nasikia katika Koran kuna Aya karibu 60 zinasisitiza mtu kupigania na kuwa tayari kufa kwa ajili ya dini ya kiislamu
Ndugu yangu mwenye kisu kikali ndio akula nyama. Kwaiyo unataka wakulima wapate hasara ili wewe ushibe kwa Bei rahisi? Kweli unahuruma na wakulima wetu?Ukame upi Mkuu,Chakula kumeuzwa nje ya nchi!
Utawaweza?? Hawakosagi wa kumlaumu kwa matatizo yao wenyeweRais ni wa kwao, waziri wa mambo ya ndani ni wa kwao, kamanda wa polisi anayetoa taarifa ni wa kwao, wahalifu ni wa kwao na hata kitabu wanachotumia ni cha kwao.
Sijui wataanzia wapi kusema wanakashfiwa
Aah wanawake kwenye jihad hawapigwi ila wanabakwa sio?? Maana Muhamad alikuwa bingwa wa kubakaNi kweli kupigana jihad ni lazima kwa kila muislamu yule ambaye anavigezo( wazee na watoto awaruhusiwi kwenda kwenye jihad) .. palestina kila siku watu wanauliwa na wamepòrwa ardhi yao mbona IS na alshabab awajawai kwenda kuwasaidia wenzao kama kweli wanachopigania ni jihad? unakuja kugundua kuwa ivi vikundi vinatengenezwa na wao wenyewe west kwa maslahi yao ..Nakuja kwenye sheria za jihad moja wapo ya sheria ya jihad airuhusiwi kumpiga mtu aliyekuwa nje ya uwanja wa vita,watoto,wazee na wanawake .. tuangalie leo alshabab wanachofanya je kinaendana na izo sheria apo juu?
NI KWELI KABISA.Zanzibar bila Tanganyika ingekuwa makao makuu ya Taleban,ISIS au Alqaeda
Ukweli mchungu.
Yeah...mimi kuna jamaa tulisoma nae advance alitoroka mpaka wazazi hawakujua lienda wapi....ila alikuwa na chuki pale shuleni dhidi ya wasio waislam...Yeye ni kushinda msikitini tu...Quran alikuwa anaisoma kuliko Chand na BSAsikudanganye mtu ndugu yangu,holi suala si la visiwan pekee,hata huku bara lipo.Mdogo wangu wa mwisho toka mwaka jana hajulikani alipo.Nae alikuwa na dalili hizo.
Zanzibar haijawahi kuvamiwa acha kujitoa ufahamu.kwani mlipokuja kuivamia Zanzibar 1964 na kuuwa watu kwa maelfu,yale hayakuwa maangamizi ???
Na hivi mnavyokuja kuuwa kila uchaguzi mkitumia majeshi yenu , polisi, usalama wa Taifa na mpaka majeshi ya Burundi mnakuwa na uasili wa kipolisi ndani yake ??
Hao jamaa wanaosema ilivamiwa wengi wale waarabu koko ambao babu zao walikua kwenys serikai ya kisultani.Zanzibar haijawahi kuvamiwa acha kujitoa ufahamu.
Kama wanatumia mistari ya Quran unataka vipi wasihusishwe na dini?Waliotenda matendo hayo tafadhali wasihusishwe na dini wala msimamo WA nchi fulani, hao NI waharifu kama waharifu wengine .
Samia ni wa wapiNani alikuambia Raisi ni wa kwetu , huyo ni kijana wa Mkuranga, pamoja na waziri wa mambo ya ndani , hicho kitabu wanachotumia ni cha Mkuranga ??huwachi chuki wewe kijana mfuasi wa Borgia ???
Unamheshimu yupi sasa? Anayezijua dini alizotunga mwenyewe au?sio kwa ubaya ila waga namdhalau mtu yoyote anae jifanya kuijua dini tulizo letewa
Waislamu duniani sio wajinga kama ambavyo mnajaribu kuwafikiria. Kwa muislam aliyejaribu kusoma sana Quran na kuielewa kweli kweli asipojihusisha na jihad basi ujue moyoni mwake anapambana sana. Kiukweli kuna mafundisho mengi sana ambayo yanashawishi kufanya matendo ambayo general population tumeya-term kama matendo ya kigaidi.Kuna Waislamu wengi wanao elewa mafundisho ya dini yao vizuri.
Ila kuna wachache sana na ndio hao wanao leta fujo.
Wameshindwa kabisa kuyafafanua na kuyaelewa mafundisho mazuri ya dini ya kiislamu.
Ushauri
Waalimu wa Kiislamu kuanzia Wazazi Viongozi wa Madrasa hadi vyuo wanao wajibu wa kuwafundisha vijana wao madhumuni mazuri ya dini ya Kiislamu.
Hii ni pamoja na kuwaambia kuhusu watu wa dini nyingine kama Wayahudi na Wakristo kuwa ni watu wema pia.
Ugaidi unaanzia katika malezi ya ngazi ya familia na kuendelea.