Mawakala wa CHADEMA wachachamaa

Issue ya form namba 17 sidhani kama inahitaji discussion, kwani kama sote tunafuatilia habari kupitia media including jf ilijadiliwa sana siku mbili zilizopita.
Kama mnakumbuka chadema wamekuwa wakiwahubiria wapiga kura ambao kadi zao zimepotea au wameziuza kujaza form namba 17 ili wakapige kura.
CCM baada ya kuona hizo tactics zinaweza kusababisha CDM kushinda kirahisi zaidi wakaiamrisha tume ya uchaguzi kutokutumia hiyo form na. 17.
Sasa mawakala wakawa wamehoji sababu zilizowafanya watangaze kutokutumia form na.17 kwa shinikizo? Hapo Kagenzi ilibidi abaki ametoa mimacho bila majibu yoyote.
 
Back
Top Bottom