Mawakala wa bitcoin na etherium wanahitajika

Mawakala wa bitcoin na etherium wanahitajika

comesucces

Senior Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
160
Reaction score
105
Heloo wakuu,

Wale mawakala wa bitcoin na etherium nawahitaji ikiwezekana waniunge kwenye magroup yao ya whatsapp nilikuwa nazihitaji.

Nimeamua nihamie kwenye cryptocurrency na zile fursa nzuri nzuri za cryptocurreny msisahau kunishirikisha
 
*Uwekezaji ktk vifurushi 9:*

_PACKAGES hapa chini bei iliyoainishwa ni pamoja na membership fee na transfer charges na pia zinaweza kubadilika kutokana na thamani ya $ kwa wakati husika:-_

*1. Client Partner – Inauzwa kwa $30 = Tsh 67,500*
Ina Points = 5
Unalipwa kwa siku = $0.28 = Tsh 630
Unalipwa kwa Wiki = $1.40 = Tsh 3150 (Jumatatu hadi Ijumaa)
Unalipwa kwa Mwezi = $6.16 = Tsh 13,860
Gharama ya uendeshaji kwa mwezi = $0.75 (Unatozwa wewe)
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($75= Tsh 168,750)

*2. Client Basic - Inauzwa kwa $55 = Tsh 123,750*
Ina Points = 10
Unalipwa kwa siku = $0.56 = Tsh 1260
Unalipwa kwa Wiki= $2.80 = Tsh 6,300 (Monday to Friday)
Unalipwa kwa Mwezi= $12.32 = Tsh 27,720
Gharama ya Uendeshaji kwa Mwezi = $1.5
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($150= Tsh 337,500)

*3. Client Bronze - Inauzwa kwa $110= Tsh 247,500*
Ina Points = 20 Unalipwa kwa siku = $1.35 = Tsh 3037.5
Unalipwa kwa Wiki= $6.75 = Tsh 15,185
Unalipwa kwa Mwezi = $29.70 = Tsh 66,825
Gharama ya Uendeshaji kwa Mwezi ni = $2.97
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300%. i.e ($297= Tsh 668,250)

*4. Client Silver - Inauzwa kwa $270= Tsh 607,500*
Ina Points = 50
Unalipwa kwa siku = $3.39 = Tsh 7618.5
Unalipwa kwa Wiki= $16.93 = Tsh 38,100
Unalipwa kwa Mwezi = $74.50 = Tsh 167,625
Gharama ya uendeshaji kwa mwezi = $ 7.47
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii ROI = 300% i.e ($747= Tsh 1,680,750)

*5. Client Gold - Inauzwa kwa $550= Tsh 1,237,500*
Ina Points = 100
Unalipwa kwa siku = $6.79 = Tsh 15,277.5
Unalipwa kwa Wiki = $33.93 = Tsh 76,342.5
Unalipwa kwa Mwezi = $149 = Tsh 335,925
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($1497 = Tsh 3,368,250)

*6. Client Premium - Inauzwa kwa $1060=Tsh 2,385,000*
Ina Points = 200
Unalipwa kwa siku = $13.59 = Tsh 30,577.5
Unalipwa kwa Wiki= $67.93 =Tsh 152,842.5
Unalipwa kwa Mwezi = $298.90 = Tsh 672,525
Gharama ya uendeshaji kwa mwezi = $24.98
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($2997 = Tsh 6,743,250)

*7. Client Black- Inauzwa kwa $2060= Tsh 4,635,000*
Ina Points = 400
Unalipwa kwa siku = $30.78 = Tsh 69,255
Unalipwa kwa Wiki = $153.92 = Tsh 346,320
Unalipwa kwa Mwezi= $677.26 = Tsh 1,523,835

Gharama ya Uendeshaji kwa Mwezi = $49.98.

*8. Clienté Master - Inauzwa kwa $4,999 =11,247,750*
_Points:_ *1,000 Pts*
_Daily pay:_ *$82.35*
*_=Tshs._ 185,287.5/-*
_Approximate number of payable days until the ROI is reached:_ *182.137 days*
_Membership fees:_ *$50*
_Monthly Assets:_ *$124.99*
_Transaction fees:_ *$76*
_Total+Membership:_ *$5,049*
*_=Tshs._ 11,360,250/-*
_Total+Transaction:_ *$5,125*
*_=Tshs._ 11,531,250/-*
*_ROI:_ $14,997*
*_=Tshs._ 33,743,250/-*

*9. Client VIP - Inauzwa kwa $9,999 = 22,497,750*
_Points:_ *2,000 Pts*
_Daily pay:_ *$168.3*
*_=Tshs._ 378,675/-*
_Approx number of payable days until the ROI is reached:_ *178.235 days*
_Membership fees:_ *$50*
_Monthly Assets:_ *$250*
_Transaction fees:_ *$76*
_Total+Membership:_ *$10,049*
*=Tshs. 22,610,250/-*
_Total+Transaction:_ *$10,125*
*=Tshs. 22,781,250/-*
*_ROI:_ $29,997*
*_=Tshs._ 67,493,250/-*

*_INVEST AS YOU CAN_*
 
Heloo wakuu,

Wale mawakala wa bitcoin na etherium nawahitaji ikiwezekana waniunge kwenye magroup yao ya whatsapp nilikuwa nazihitaji.

Nimeamua nihamie kwenye cryptocurrency na zile fursa nzuri nzuri za cryptocurreny msisahau kunishirikisha
Welcome katika ufalme
 
This is good news. Mimi binafsi nimeweza kuweka mtaji wa 4000USD kwa miezi miwili katika different type of coin include bitcoin na kuweza kuingiza 27000USD. But suddenly hizi siku mbili value ya coin inashuka sanaa. I decided to back off kidogo kuangalia hali ya bitcoin kama inazidi kushuka au lah. My advaice ni ukijiunga na bitcoin inahitaji uwe makini sana otherwise uta loose pesa.
 
This is good news. Mimi binafsi nimeweza kuweka mtaji wa 4000USD kwa miezi miwili katika different type of coin include bitcoin na kuweza kuingiza 27000USD. But suddenly hizi siku mbili value ya coin inashuka sanaa. I decided to back off kidogo kuangalia hali ya bitcoin kama inazidi kushuka au lah. My advaice ni ukijiunga na bitcoin inahitaji uwe makini sana otherwise uta loose pesa.
Kivipi mkuu ebu nipe darasa kidogo maana nahisi kushawishika sasa sijauelewa vizuri huu mchezo na hasara zake
 
Hapa sasa ndio mtu anapigwa swafi!

Yani ananyooshwa flat!
 
Back
Top Bottom