GE2025 Mavunde: Ni bora wanichukie leo, wanikumbuke kesho

GE2025 Mavunde: Ni bora wanichukie leo, wanikumbuke kesho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
507
Reaction score
891
Mgombea ubunge wa Mtumba mkoani Dodoma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde, amesema atasimamia kuvunjwa soko la Sabasaba na kujengwa upya, akisisitiza kuwa hatua hiyo inalenga kuboresha mazingira ya wafanyabiashara na kulipa sura mpya ya kisasa.

“Niliposema tunalivunja soko la Sabasaba, baadhi waliingiza siasa. Lakini ni bora wanichukie leo, wanikumbuke kesho. Hakuna mfanyabiashara atakayepoteza nafasi, tutalipanga upya kwa ustawi wa wote,” amesema Mavunde.

 
kwa hali inavyoendelea huko Tz nadhani umekosea timing na location, nenda Facebook 😀, nako sijui kama utapata msomaji
 
Back
Top Bottom