mavituz ya south beach residency dar es salaam

Nimeipenda! nyumba nzuri kweli...kwa dola 600 mbona inawezekana kupangisha au maeneo ni ya matajiri tu sisi kabwela haturuhusiwi. Kuna viwanja vingine ukienda kuuliza unajibiwa...ndiyo tunapangisha lakini wewe si aina ya wapangaji tunaowataka!!!
 
Ongeza kidogo bei tuzungumze ipo nyingine hukohuko
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom