mavituz ya south beach residency dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mavituz ya south beach residency dar es salaam

Discussion in 'Jamii Photos' started by NDINDA, May 1, 2011.

 1. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,648
  Trophy Points: 280
  The South Beach Resort has six (6) basic and different types of custom designed detached houses, primarily differentiated on floor and plot sizes and the facilities offered in each type. Each house type was designed to have its own characteristics different from others
  house type 1
  [​IMG]
  Type 2 houses were designed with a built up area of 150sq. meters including 3 en-suite bedrooms, bathroom, lounge, kitchen/breakfast, dining room, storage, utility, veranda and car port
  [​IMG]
  [​IMG]

  Type 3 Houses designed to cover 200sq meters including 3 en-suite bedrooms, lounge, kitchen/breakfast, dining room, storage utility, car port and cloakroom
  [​IMG]


  Type 4 A scheme comprises of 110 houses of different types and sizes. House Styles from Type 1 to type 6 are Arabic, Swahili, Modern, Mediterranean:
  ■type one – two bedroom bachelors quoters
  ■type two – three bedroom quoters
  ■type three – three bedroom double story quoters
  ■type four – four bedroom double story quoters
  ■type five – four bedroom double story quoters
  ■type six – four bedroom double story beach view
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,648
  Trophy Points: 280
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Iko poa! Lakini vipi umelipia hili tangazo? Rifanye hima kabura sija riarest riingize pesa kwenye riaccount No. TISS 07777111
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  hizi si nyumba za gezaulole za mutual dev ambao wanafilisiwa na cba bank?sidhani kama ni za south beach resort
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mhh hivi Mtanzania wa kawaida anaweza mudu hizi nyumba au ndo tunazidi jiwekea matabaka???
   
 6. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,648
  Trophy Points: 280
  TEH TEH

  MKUU WEWE NDIO ULIDELETE LILE THREAD YA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI? NILIDHANI WATU WENGI WATAPATA ELIMU KUHUSU MABASI YALE LAKINI HALIKUCHUKUA SIKU LIKAPOTEA, HATA HIVYO HILI SIO TANGAZO NI JITIHADA TUU TUNAZOFANYA ILI KUTANGAZA NCHI YETU, USINIELEWE VIBAYA LABDA ITAKUA KAZI KUNIELEWA NATANGAZAJE NCHI KWA NJIA HII, ILA NIAMINI NINA LENGO ZURI TUUU KWA NCHI YETU, PIA UNAWEZA KUGONGA HAPA http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=803392&page=15 AU HAPA http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=803392&page=16. au kama unaona halihusiki au linachafua hali ya hewa hapa , you can do what you think is right,thanks
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ndinda tafadhali.... hapo sio south beach resort bali ni south beach residency!!!

  Ulimislead watu mkuu,
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  ndoto za linacha
   
 9. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,648
  Trophy Points: 280
  hatuwezi kuwa sawa hata siku moja,
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,266
  Likes Received: 19,396
  Trophy Points: 280
  mkuu hizi nyumba ni za nani? na kina nani wanatakiwa kuishi hapo? na kama zinauzwa ninawezaje kujumuishwa?
   
 11. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  Maria hivi hao 'watanzania wa kawaida' ndo akina nani? and who said we should be equal anyway? Jamani tuache haya mawazo ya ujamaa ambayo hayatekelezeki. Kuna watu si mafisadi wala nini..wana-hustle usiku kucha to make a better future for themselves and their loved ones. Sasa unataka hao wasiishi kwenye nyumba nzuri simply because 'mtanzania wa kawaida' cant afford the same? Labda sijakuelewa....

  'socialism doesnt mean poverty. To be rich is glorious' Mwanasiasa wa China aliwahi kusema...
   
 12. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,648
  Trophy Points: 280
  du hii maana yake nini?
   
 13. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,648
  Trophy Points: 280
  hapana mkuu sijamislead mtu yoyote ni SOUTH BEACH RESORT labda kwa sababu jina linafana na kule walikomchoma mzamia disco, hawana adabu kabisa wale, kwa kuhakikisha zaidi gonga hapa kwa wenyewe mkuu
  http://landplan-icon.com/2011/south-beach-resort-type-4/ , pia hapa http://landplan-icon.com/category/portfolio/rez/scheme/ nadhani utakubaliana na mimi kabisa kuwa kila nilichosema ni ukweli
   
 14. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,648
  Trophy Points: 280
  well said
   
 15. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  Ni kweli hizi ni nyumba za geza-ulolo chini ya Mutual Developments na huwa wamalizapo kujenga huziuza kwa kuanzia dola 70,000+, wengi wa wateja wao ni vigogo. Nilipata kufika mara 2 kutaka kununua moja ya nyumba hizo waila bei zikaniogopesha. Sijajua iwapo kuna MUFILISI.
   
 16. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,648
  Trophy Points: 280
  sina uhakika lakini nyumba hizi anaweza kukaa yeyote ili mradi anaweza kulipa pango au anaweza kununua, nimeikuta hii huko huko likoulizwa swali linafanana na la kwako jibu lilikua hivi
  (Even the same type vary because each house has a different owner but generally rent starts from USD 600-1,000 for the 2 bedroom house.)
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  usiwe mbishi... south beach resort ni ile hoteli iliyojengwa kwenye makaburi ya wenyeji kwa nguvu za wakubwa na ndio ambayo mkurugenzi, dereva na staff mwingine walimchoma moto kijana wa mjimwema.. iko mjimwema

  Southe beach residency ni nyumba 110 zilizojengwa na wawekezaji wa ndani ambazo magufuli aliweka jiwe la msingi miaka hiyo na ziko gezaulole

  IT DOESNT HARM KUKUBALI KUWA YOU WERE ILL INFORMED... NA LANDPLAN NI KAMPUNI YA HAO AKINA NURU
   
 18. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,648
  Trophy Points: 280
  mkuu mi sio mbishi ila nimeweka habari hii hapa kama nilivyoikuta katika vyanzo , sijabadilisha chochote na wala sijaongeza chochote, na kama jina limebadilishwa pia hakuna ubaya tunaweza kueleweshana vizuri tuu na sio kuanza kulable watu wabishi, kama hizo linki nazo ni mbishi basi sina la kusema, au hujasumbuka hata kuzifungua?
   
 19. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  one of the rare planned residency in tz if not the only one
   
 20. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #20
  May 1, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,806
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Huo ndio ule mradi wa wale ma pirates wa Somali sio!? OOps! hivi wanatoa mortgage hapo!?
   
Loading...