Mavi debe!!

Kweli mbele ya huu mtambo wa mauaji na kamera lazima iwe mavi debe. Mie naona mavi pipa maana inataka moyo si kawaida.
 
Sasa anaogopa nini wakati amesogea ili apige picha vizuri
 
Ameona anapigwa picha akiwa mbali kaona asogee karibu!
 
...da, lazima ushuzi utoke..."pyuuuuuuuuuuu"
 
Hapo alitakiwa kumpa jab badala ya kuanza kuduwaa na kukata tamaa!!! Kama hiyo gari haina top slide roof alifuata nini huko juu!!!
 
Akome na kiherehere chake cha kutoka nje ya gari!Si alitaka apige picha vizuri haya apige sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…