Hivi uchi huwa unavaliwa?
nashukuru kwa ufafanuzi,ubarikiwe sana.Uchi huwa hauvaliwi ila tatizo ni pale tu mtu anapokuwa amavaa nguo zinazoonesha maumbo ya siri hapo ndio tunasema kuwa mtu kavaa nusu uchi au mavazi ya Uchi kiasi mwili wote haufunikwi kwa mavazi hasa zile sehemu ambazo tuanaita uchi
Mavazi ya uchi na kubana limekuwa tatizo kubwa sasa hapa tz . Tabia hii ya mmomonyoko wa maadili, ilianza kidogokidogo na sasa imekuwa kama kawaida kwani mpaka kwenye nyumba za ibada wanakwenda na hivi vijisuruali mmbano[big G] bila hata ya woga. Swali langu. 1. TUFANYEJE ILI KUKOMESHA TATIZO LA KIMAADILI ? 2. NANI ALAUMIWE- serikali/jamii yenyewe.?
Mfano ni hako katoto hapo
Mfano ni hako katoto hapo
biashara matangazo; zinatafutwa hela za mafuta ya gari hapo....
Mavazi ya uchi na kubana limekuwa tatizo kubwa sasa hapa tz . Tabia hii ya mmomonyoko wa maadili, ilianza kidogokidogo na sasa imekuwa kama kawaida kwani mpaka kwenye nyumba za ibada wanakwenda na hivi vijisuruali mmbano[big G] bila hata ya woga. Swali langu. 1. TUFANYEJE ILI KUKOMESHA TATIZO LA KIMAADILI ? 2. NANI ALAUMIWE- serikali/jamii yenyewe.?
Mi nashangaaga sana nikiona mtu anahangaika na yasiyomuhusu. As long as mtu hanikeri, hajaingilia utaratibu wangu wa maisha, na sio mwanangu? I dont freaking care what and how they dress up