careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,646
Natamani mama angeanza kutupia mavazi yanayoenda na fasheni ya marais. Yaani vazi flani hivi traaamu sana kiasi kwamba mtu akimuona tu anajua kweli huyu MAMA WA TAIFA.
Kama leo yupo UGANDA na vile amevaa barakoa nilitaman amechishe zake na gloves kwasabu hata hivo UG kuna kiubaridi, angepiga suti moja matata sana kutembea angetembea kwa madaha kidogo kukaa pia angekaa kitaalam yaaan ashtue watu kwelikweli.
Sasa dah! Mama hata mtandio tu naona hajaufunga ile kisawasawa. Au sijui apungue kidogo?
NB NAJUA KUNA TISS HUMU JAMAN MSIJENIKAMATA MIE NIMETOA USHAURI WANGU TU KAMA MWANAMKE NAYEENDA NA FASHEN!